Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ile ya assist yenu ya mkono kutoka kwa Lacazette hukuona.
Ball to hand and hand to ball ni vitu viwili tofauti.Ya Lacazate ni ball to hand na eneo alilokuwa Lacazate lina mitambo mingi ya kunasa tukio lolote kama handball isingewezekana aachwe.
 
Ubingwa utachukua wewe baba, mm nitapiga mahesabu mwez wa 5

Kwan umeniacha point 10?
Kwanza ushaongeza gap, kumbuka. Alafu tena unaenda kuziacha zingine tukikutana. 4 is your number, man. You are there to stay.
 
Kwakua unatumia ushabiki na sio fact matokeo yatakua hivyo ulivyopiga ramli

Lakini kwa fact za uwanjani mpira unavyochezwa hadharani mguu wa shingo mguu wa roho arsenal hatoki! Hana beki ya kuzia trio foward line yetu na sasa muongeze big Shaq inakua Fab 4
unachambua kishabiki, sio?
 
Me sit ozil naye ajierekebishe hawezi kuizidi klabu alionesha nidhamu mbovu alipopigwa sub. Abu ni super star pamoja na Lacazate lakn wote huwa wanaanzia nje au kupigwa sub na wanakuwa na amani. Nilichukia sana kitendo kile.
 
Mjadala
Kuelekea mechi yetu na Liverpool timu yetu mpaka sasa imefunga goli 24 na kufungwa goli 13 na kuwa arsenal Ndio timu yenye forward Kali baada ya Manchester city
Wapinzani wetu Liverpool wamefunga goli 20 na kufungwa goli 4 na kufanya kuwa ndio timu yenye ukuta mgumu baada ya Manchester city ambao wameruhusu goli 3 Tu
Sasa tukija uhalisia wa timu yetu Kwanza tuna tatizo moja kuruhusu kufungwa first half na karibia goli 14 tumepata kipindi cha 2 mara nyingi tumefanya comeback na kushinda sec half Hilo ni tatizo ukikutana na timu kama Liverpool kwasababu kama utaruhusu kuongozwa first half na timu kama Liverpool harafu wakati tunajipanga kufanya come back kama tulivyozoea itakuwa ni hatari Sana kwasababu Liverpool ni timu hatari Kwa counter attack na ukichukulia hatuna beki nzuri
Tatizo la pili Kwa timu yetu ni hatuna winger hivyo kufanya beki zetu za pembeni kufanya kazi ya mawinga ndio maana mpaka sasa bellerin anaongoza Kwa assist kwasababu ya kutokuwa na winger mbaya zaidi hata hao mabeki zetu hao wa pembeni Wana injury na nguvu ya Liverpool ipo katika wings mane na Salah sasa sioni replacement ya hao beki zenye injury za kuweza kuwauia vizuri ni kitu ambacho naamini tuna mtihani mkubwa huenda wengi hamkuona haya mapungufu niliyotaja kwasababu katika mechi zote hatukukutana test nzuri ya mechi kubwa angalau Hata mechi ya jumapili imetuonyesha kuwa bado tuna tatizo hasa la beki wa kushoto winger na hata beki kiongozi wa Kati angalau kocha akifanya hizi sajili hakika kila mtu aliye mbele yetu atakuwa anapigwa Mimi mechi ya jumamosi nipo tayari kupokea matokeo yoyote kutokana na haya mapungufu niliyotaja
Japo nitafurahi Sana tukishinda na hii itajenga zaidi molali zaidi Kwa wachezaji
Maoni yako mdau mwenzangu kitu gani kifanyike ili tushinde hii mechi?
 
Wale gunners wa kweli kweli tukutane whatsap group, join kwa link hii:

WhatsApp Group Invite

NB: Ukikutana na Ljumberg kwenye group huko usishituke, ni member tu kama wewe. Hii ni international forum, kama kingereza yako imekaa kushoto pita kulia 🥅
 
Our line-up
IMG_9723.JPG
 
UNAI EMERY ,UNAKUBALI KUTOKUKUBALI?

November 3 siku ya jumamosi,Arsenal itakuwa nyumbani Emirates kuwakaribisha liverpool katika mzunguko wa ligi ya EPL .Mechi hii ni ngumu kwa Arsenal na Liverpool pia na kwa mtazamo wangu mchezo wangu utaamuliwa na ubora wa viungo wa timu zote mbili .

VITA YA VIUNGO
Bila shaka Arsenal itawaanzisha XHAKA ,TORREIRA na OZIL ambao watapambana na FABINHO,HENDERSON na WINALDIUM ambapo UNAI EMERY anapaswa kujiuliza ni namna gani Lucas Torreira atamzuia Geogino Winadium ili asilete madhara ya kupeleka mipira kwa Mo salah,Sadio mane na Firminho ambao wanaweza kuleta madhara kwenye lango la Arsenal !Mashambulizi Mengi yanaanzia kwa kiungo huyu Mwenye kasi ,nguvu na ubunifu wa hali ya juu.

Ni lazima Mmoja kati ya PEA au LACCA aanzie benchi ili kuruhusu Mikh na Iwobi waanze kwa sababu njia pekee ya arsenal kushinda mchezo huu ni kuwa na wings zenye kasi ambazo zitafanya mashambuliz ya kushtukiza (counter attacks).Ni vyema Lacca akaanzia benchi ili PEA aanze kwa ajili ya kuongeza kasi akisaidiana na IWOBI NA MIKHI

Ingawa Liverpool ni bora kuliko arsenal ni vyema Unai Emery akubali kutokukubali kwamba liverpool ni bora ,na awahimize vijana wakapambane mpaka dakika ya mwisho !
Kwa mtazamo wangu

50/50
FB_IMG_7016506660752586940.jpeg
 
50/50View attachment 917566
Ufafanuzi ni mzuri lakini pia Liverpool bado ina mapungufu mengi tu hao uliowataja wanazuilika sana.
 
Back
Top Bottom