jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 494
- 531
Ila hizi ni zama mpya chini ya kocha mpya.... Fikiria zaidi ya miaka kumi hatujawahi kucheza mechi zaidi ya kumi mfululizo bila kufungwa. Ni msimu huu tu ndo tumeweza... Na ndo maana naamini kuwa tutakuwa na matokeo mazuri tu kwa upande wetu leoNgumu sana,kumbuka timu zinazotusumbuaga ni liva,beryen,man u na msimu huu liva wako onfire so kuwafunga yahitaji nguvu ya ziada

