Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

leo mashabik wa liver hawakuwa na jipya

na mpira wa leo kwanza nimeangalia kwa furaha sam tuu yimu imeimarika sana kwakwel watu wataanza kutuogopa
The same to me Mkuu Nilijua Leo yaleyale mpaka half time 3...Ila Leo tumeifanya Liver ionekane ni Timu ya kawaida.Unai kuna kitu ameleta kwenye timu..

Vijana bado wana tatizo la kutumia nafasi..Ila Liver Yule VVD ni mzuri sana ameimarisha sana defence...Angekua Lovren tungepiga 3.
 
Mpira wa arsenal kwa kiwango hiki kilichooneshwa now imekua timu sasa ,,,waweza ituma popote
Kwa kweli Mkuu! Now timu inaeleweka, inaupiga mwingi sana! Yaani timu yoyote tunaweza kucheza nayo kwa ujasiri kabisa.
 
Emery: "I am happy with our performance. Today the balance over the 90 minutes is more positive. It's very difficult to not let them have chances. You need a little luck at some moments."
 
Baada ya mechi ya leo twaweza kusema kwamba Arenal inaweza wasipewe nafasi ya kuwa mabingwa lakini wanaweza kabisa kutishia nafasi hiyo na kuishia nafasi ya tatu.

Ilikuwa ni mechi ya timu nzuri na zenye ushindani khasa.

Lucas Torreira hakutuangusha.

COYGs!
 
Man of the Match for first time kwenye big match simba
IMG-20181103-WA0029.jpeg
 
Emery on the performance: "We wanted to win but the performance is good, we push & we work the match, doing our tactics & with our supporters pushing us with energy. For the supporters it is a great match & a good spectacle but I am only 50% happy because we wanted to win" #afc s
 
Bahati mbaya sana tukiwa na kocha mgeni kabisa tumeanza na mechi ngumu mwanzo wa msimu. Man city na Chelsea. We are gaining momentum steadly....
 
Hilo swala UNAI na kina sven wanalifanyia kazi,

January kuna watu kama wawili wataingia,
Ndio maana naona Hawa akina Ramsey waondoke tu wapishe watu wa kazi pale kati...Unai still anahitaji wachezaji wa kuimplement mfumo wake...

Yaani Wala sioni tunachopoteza kwa Ramsey..ni squad player tu.
 
Ingelileta maana zaidi hapa kama post zenu zingeonesha masikitiko kwanini Mumedraw uwanja wa Nyumbani kuliko kusifia Kiwango kwa Kutoa Sare uwanja wa nyumbani.

Changamoto moja ya timu kubwa ni viwanja vya ugenini kwenye mechi kama hizi.

So, ukidrop points kwenye Home ground Ni tatizo kwa Timu kubwa Kwani ukienda Away usidhani kuwa Utaperform kama Nyumbani.
 
Tangu nimeufahamu mpila uwa najua jambo moja tu what counts alot ni 3 fuckin points thats it uende mbele urudi nyuma but thats it. Sababu in the end ukidrop points means unasuffer consiquences sasa sijui unajaribu kujenga hoja ipi? Ambayo italeta tija hapa
 
Tufanye upo sahihi sijengi hoja yoyote hapa
 
Back
Top Bottom