leonardo da vinc
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 1,108
- 735
Guendouzi wa Manzese au?Ila mmojawapo ni natteo gounduz![]()
Guendouzi wa Manzese au?Ila mmojawapo ni natteo gounduz![]()
Huu wako Ni uongo au kutokujua kwa unachokiongea.
Ukila Umeme Kwenye Kwenye Ligi yoyote iliyochini ya FA basi Kwenye Ligi zote zilizopo chini ya FA huwezi Kucheza.
Usiropoke tu Kaingie Kwenye Official Application of Barclays Premier League utakuta taarifa wameeka kuwa jamaa atakosa Game v/s Liverpool.
mkuu achana na hadithi, hili swala lilifutwa mwaka huu. Asipocgeza nitakuwa nae apa kwa mworombo tunakula bia na nyama ila sio sababu ya kadi
Yuko sahihi sio tufanye. Kwanini usikiri kua umekuja kujifunza mpila chuo cha mpilaTufanye upo sahihi
Umeongea ukweli tupu kumbe sometime akili zinakuepo! Liverpool sisi hatuna matokeo tofauti na ushindi, point 3 muhim!Mjadala
Kuelekea mechi yetu na Liverpool timu yetu mpaka sasa imefunga goli 24 na kufungwa goli 13 na kuwa arsenal Ndio timu yenye forward Kali baada ya Manchester city
Wapinzani wetu Liverpool wamefunga goli 20 na kufungwa goli 4 na kufanya kuwa ndio timu yenye ukuta mgumu baada ya Manchester city ambao wameruhusu goli 3 Tu
Sasa tukija uhalisia wa timu yetu Kwanza tuna tatizo moja kuruhusu kufungwa first half na karibia goli 14 tumepata kipindi cha 2 mara nyingi tumefanya comeback na kushinda sec half Hilo ni tatizo ukikutana na timu kama Liverpool kwasababu kama utaruhusu kuongozwa first half na timu kama Liverpool harafu wakati tunajipanga kufanya come back kama tulivyozoea itakuwa ni hatari Sana kwasababu Liverpool ni timu hatari Kwa counter attack na ukichukulia hatuna beki nzuri
Tatizo la pili Kwa timu yetu ni hatuna winger hivyo kufanya beki zetu za pembeni kufanya kazi ya mawinga ndio maana mpaka sasa bellerin anaongoza Kwa assist kwasababu ya kutokuwa na winger mbaya zaidi hata hao mabeki zetu hao wa pembeni Wana injury na nguvu ya Liverpool ipo katika wings mane na Salah sasa sioni replacement ya hao beki zenye injury za kuweza kuwauia vizuri ni kitu ambacho naamini tuna mtihani mkubwa huenda wengi hamkuona haya mapungufu niliyotaja kwasababu katika mechi zote hatukukutana test nzuri ya mechi kubwa angalau Hata mechi ya jumapili imetuonyesha kuwa bado tuna tatizo hasa la beki wa kushoto winger na hata beki kiongozi wa Kati angalau kocha akifanya hizi sajili hakika kila mtu aliye mbele yetu atakuwa anapigwa Mimi mechi ya jumamosi nipo tayari kupokea matokeo yoyote kutokana na haya mapungufu niliyotaja
Japo nitafurahi Sana tukishinda na hii itajenga zaidi molali zaidi Kwa wachezaji
Maoni yako mdau mwenzangu kitu gani kifanyike ili tushinde hii mechi?
Klopp kuhusu mechi ya fainali ya Europa 2016 dhidi ya Emery: "Tulianza vizuri tu na tuliutawala mchezo. Kipindi cha pili walipata bao la mapema kisha wakashika kasi na hatukuweza kurudi mchezoni. Ilikuwa mechi yetu ya 63 ya msimu, tulipoteza mchezo na sasa imebaki historia.”Umeongea ukweli tupu kumbe sometime akili zinakuepo! Liverpool sisi hatuna matokeo tofauti na ushindi, point 3 muhim!
Akirudi tena tutamuita makondaKlopp kuhusu mechi ya fainali ya Europa 2016 dhidi ya Emery: "Tulianza vizuri tu na tuliutawala mchezo. Kipindi cha pili walipata bao la mapema kisha wakashika kasi na hatukuweza kurudi mchezoni. Ilikuwa mechi yetu ya 63 ya msimu, tulipoteza mchezo na sasa imebaki historia.”
Kesho asubiri kichapo tena
Angalia kipindi hicho klopp alikua amerithi liverpool yenye wachezaji wepi na huyu UnaiBall alikua amesha win back to back ya europa 2x na kikosi kizuri tuKlopp kuhusu mechi ya fainali ya Europa 2016 dhidi ya Emery: "Tulianza vizuri tu na tuliutawala mchezo. Kipindi cha pili walipata bao la mapema kisha wakashika kasi na hatukuweza kurudi mchezoni. Ilikuwa mechi yetu ya 63 ya msimu, tulipoteza mchezo na sasa imebaki historia.”
Kesho asubiri kichapo tena
Klopp kuhusu mechi ya fainali ya Europa 2016 dhidi ya Emery: "Tulianza vizuri tu na tuliutawala mchezo. Kipindi cha pili walipata bao la mapema kisha wakashika kasi na hatukuweza kurudi mchezoni. Ilikuwa mechi yetu ya 63 ya msimu, tulipoteza mchezo na sasa imebaki historia.”Angalia kipindi hicho klopp alikua amerithi liverpool yenye wachezaji wepi na huyu UnaiBall alikua amesha win back to back ya europa 2x na kikosi kizuri tu
Yuko sahihi sio tufanye. Kwanini usikiri kua umekuja kujifunza mpila chuo cha mpila

) sababu yangu kubwa ni vile nimeshuhudia tukiwa humiliated na hawa jamaa,Liva game 5 za mwisho(head to head) hatujashinda,draw 2 na tumepigwa 3 leo tunatakiwa kufuta hii kitu nina imani Unai atakua chachu kwenye hili ila honestly hata tukipata draw mimi nitakua na w'end yenye amani.View attachment 919917
Tuko kwenye wakati wenye mafanikio kwa kiasi fulani baada ya kupoteza game 2 za mwanzo tumekua na mwenendo nzuri kwenye ligi.
Game zetu na Liverpool zimekua za upande mmoja recently hawa jamaa wanatupa wakati mgumu sana toka 2016 hatujawahi kupata matokeo chanya zaidi ya draw mbili angalau game ya mwisho tulipambana sana tukapata draw ya 3-3.
Leo wanakuja Emirates bado nina mashaka na nidhamu yetu kwenye mchezo hasa kipindi cha kwanza tunavyocheza na Liva wanajua hasa ku-press tena kwa muda mrefu naiona backline yetu ikiwa kwenye mtihani leo toka kwa ile best trio,eneo la kiungo ndio msaada wetu leo endapo likitulia tukawapoza basi hata backline yetu itapumua na kujipanga.
Katika timu ninazotamani kuzifunga duniani kwa sasa ni Liverpool,Man Utd na B.Munich(hawa hata friend match tu) sababu yangu kubwa ni vile nimeshuhudia tukiwa humiliated na hawa jamaa,Liva game 5 za mwisho(head to head) hatujashinda,draw 2 na tumepigwa 3 leo tunatakiwa kufuta hii kitu nina imani Unai atakua chachu kwenye hili ila honestly hata tukipata draw mimi nitakua na w'end yenye amani.
Leo tunawafunga mkuu niamini mimiSwali ambalo wengi tunajiuliza ni je Arsenal ina uwezo wa kuifunga Liverpool leo au hata kutoa sare
Kwangu mkitoa sare tu nitashukuru au mkinichinjia kabisa hicho kijogoo mi Nakuja kunywa supu tu nyama nawaachia
Leo tunawafunga mkuu niamini mimi
Poa mkuu tusubiri hiyo dk 90Mchezaji wenu ambae huwa anaogopesha huwa ni Ozil peke yake, huwezi watishia Liverpool eti Lacazette na Auba wako kwenye form. Anyway mpira dakika 90, kuna kushinda,kudraw na kupigwa.Tuache maneno tusubiri mpira
Ngumu sana,kumbuka timu zinazotusumbuaga ni liva,beryen,man u na msimu huu liva wako onfire so kuwafunga yahitaji nguvu ya ziadaLeo tunawafunga mkuu niamini mimi