Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FT
Qarabag 0-3 Arsenal
Sokratis...
Smith Rowe...
Guendouzi.....
Magoli yote yamefungwa na wachezaji ambao ndio mara yao ya kwanza kuifungia Arsenal.
8 wins in row (kwenye mashindano yote) kitu kizuri ni kwamba hakuna anaeliongelea hili wameamua kukaa zao kimya wanasubiri tupoteze tu waanze tena kutunanga ni kitu kizuri wamekaa kimya uku vitendo vikitoa majibu zaidi.
Next game tuko na Fulham tunakipiga ugenini siku ya Jumapili.
We're famous ️ army.
 
Arsenal we are family,

IMG-20181004-WA0018.jpeg
 
Mechi ijayo Iwobi aanze tu ,Ramsey atusubirie kwani dogo mechi hizi mbili kaupiga mwingi sana.
 
Wale wenye App ya PREMIER LEAGUE ingieni sehemu ya NEWS , mtaona sehemu ya awards

MPIGIENI KURA UNAI EMERY AWE KOCHA BORA WA MWEZI

MPIGIENI A. LACAZETTE KATIKA GOLI BORA LA MWEZI, DHIDI YA EVERTON

Mimi nimeshapiga
IMG-20181005-WA0007.jpeg
 
This is as good as dusted. Tupa Ramsey kule anza na era ya Unai iliyotakata
 
Na kwa sintofahamu kuhusu mkataba wa Ramsey ni vema jamaa asiwe sehemu ya mipango ya timu ili squad ijipange bila yeye maana iko wazi kwa mshahara anaoutaka basi january anauzwa.
Unai Emery isyo AW, anafanya maamuzi magumu sana mpaka inapendenza..Ramsey bench mpaka akiondoka..
 
Guys unapendekeza nani apigwe leo kati ya man city na liver ili Arsenal awe ktk nafac nzuri...
 
Guys unapendekeza nani apigwe leo kati ya man city na liver ili Arsenal awe ktk nafac nzuri...
Hakuna umuhimu kwasababu wote wanakufunga ukikutana nao wewe funga wa saizi yako tu city, liver, Chelsea, man u mgonjwa, spurs achana nao
 
Target ni kushinda game 30 toka time zote zilizo nnje ya top 5 na bahati Mbaya fulham wako kwenye hiyo bracket wataponaje sasa.

Pia tutapiga mkubwa mmoja season hii. Na sare kadhaa za hao wakubwa kisha mengine tutaongea mwisho wa msimu.

90 point kutoka kwa hao 15 na chavhe kutoka kwa wakubwa.

Epl inaweza angukia home kama utani
Leo mtatoka kweli wana Arsenal mbele ya Fulham
 
Back
Top Bottom