Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wanang wa Arsenal tuko pamoja ..draw isiwayumbishe bado mna kikosi kipana sana tena cha ushindani.

Next wikiend fanyeni kweli ..

Klopp hana historia nzuri kwa Unai..
 
Wanang wa Arsenal tuko pamoja ..draw isiwayumbishe bado mna kikosi kipana sana tena cha ushindani.

Next wikiend fanyeni kweli ..

Klopp hana historia nzuri kwa Unai..
Wameshindwa kumzuia ZAHA wataweza kwa Mane .Firmino. Salah na Shaqiri
 
ZAHA na hao ulio wataja ni sides mbili tofauti..

Kila game na plan yake mkuu.

Kuna mtu anaitwa TORROERA mkata umeme...
Mbona huyo torreira alishindwa kukata umeme wa townsend, kouyate na zaha mpaka wanapata penalt 2! Msimu huu tutakuhamisha mno timu
 
ZAHA na hao ulio wataja ni sides mbili tofauti..

Kila game na plan yake mkuu.

Kuna mtu anaitwa TORROERA mkata umeme...
Acha kulialia Acha kuombaomba msaada kwa timu za watu Mkuu ona aibu Hahahahaha Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake
 
Mbona huyo torreira alishindwa kukata umeme wa townsend, kouyate na zaha mpaka wanapata penalt 2! Msimu huu tutakuhamisha mno timu
Ile game refa aliharibu japo sikutaka Arsenal ishinde ..lakini sio kwamba Liverpool atashinda.

Kwangu mimi ushindi Arsenal naipa 60%
Liverpool 40% ...

Draw liverpool 55%
Arsenal 45%

Either Arsenal or draw..!!
 
Acha kulialia Acha kuombaomba msaada kwa timu za watu Mkuu ona aibu Hahahahaha Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake
Hahaha kamba ya Arsenal itakuwa ndefu sana...

Liverpool akipambana labda draw..

Either Arsenal or draw

Come On London.....
 
Ile game refa aliharibu japo sikutaka Arsenal ishinde ..lakini sio kwamba Liverpool atashinda.

Kwangu mimi ushindi Arsenal naipa 60%
Liverpool 40% ...

Draw liverpool 55%
Arsenal 45%

Either Arsenal or draw..!!
Kwakua unatumia ushabiki na sio fact matokeo yatakua hivyo ulivyopiga ramli

Lakini kwa fact za uwanjani mpira unavyochezwa hadharani mguu wa shingo mguu wa roho arsenal hatoki! Hana beki ya kuzia trio foward line yetu na sasa muongeze big Shaq inakua Fab 4
 
Back
Top Bottom