Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu katika gemu kumi za mwisho ulizokutana na arsenal wewe umeshinda Mara 4 arsenal ikishinda Mara 2 uku mkitoka suluhu Mara 4.

Enewei sio takwimu mbya sana kwenu. Hata hivyo katika gemu zote 224 mlizocheza na arsenal wewe umeshinda gemu 86 Arsenal akishinda gemu 78 na mkidroo mara 60. Apo tofauti ni gemu 8 tu mkuu ambazo umemzidi arsenali

Hivyo arsenal sio mchovu kiivyo anapokutana na liverpool mkuu.

Hebu Toa Takwimu Zako Wewe Kwa Mechi 10 Za Mwisho na Game Zote Mulizokutana wewe na Arsenal ili tuone nani Kati ya Mimi au Wewe aliye na Wakati Mgumu Kwa Arsenal.
 
tapatalk_1534779611504.jpeg
 
Back
Top Bottom