Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

It's London Derby and we're back at our FORTRESS ni time ya Unai na squad yote kutuonyesha direction ya jahazi lililojaa maji kwa sasa kama linazama au tunaendelea na safari.
Tetesi kua Ozil anaweza asiwe sehemu ya game ya leo kutokana na ugonjwa,hii ni game ambayo lazima tushinde tofauti na hapo ni matatizo.
 
Our starting XI
IMG_8320.JPG

Bado sijawa impressed na jinsi Unai anavofanya selection ya squad kwa sasa,inawezekana ni matamanio yangu tu ila kumuona Lacazette na Torreira wakianzia benchi napata mashaka sana na plan ya mwalimu.
All the best GOONERS tunahitaji 3Pts leo kwa namna yoyote.
 
Our squard against wagonga nyundo wa london ila bado najiuliza kwanini Unai hataki kumuanzisha Torreira all in all yeye ndiye mwenye maamuzi.
_20180825_163013.JPG
 
Our squard against wagonga nyundo wa london ila bado najiuliza kwanini Unai hataki kumuanzisha Torreira all in all yeye ndiye mwenye maamuzi.View attachment 846720

Hata sielewi game plan ya Unai so far maana game zote mbili tumeona nini kinatokea ila bado hataki kumuanzisha Torreira na Lacz acha tuone itakuaje.
 
Hata sielewi game plan ya Unai so far maana game zote mbili tumeona nini kinatokea ila bado hataki kumuanzisha Torreira na Lacz acha tuone itakuaje.
Let's hope for the best mkuu, huenda anachoona sisi hatukioni. Hopefully leo tutatoka kifua mbele.
 
Back
Top Bottom