Kwa uzowefu wangu ili team iwe bingwa au hata kuwepo kwenye top four angalau isifungwe mechi zaidi ya tano kwa msimu na draw angalau chini ya kumi.
Sasa ngugu zetu Ass anal mpaka sasa mechi mbili za league mmeshapoteza. Mtakuwa waja wa nani jamani msimu huu? Mbona mnaanza kututia mioyo ya huruma mapema namna hii
Hapo bado hamjacheza na Liverpool, Man U, Spurs achilia mbali kabisa Fulham ambao jana pamoja na Spurs kuwafunga ila spurs wamelala na viatu hoi mpaka sasa hawajaamka.
Arsenal mpaka mechi kumi za mwanzo zinaisha mtakuwa mmeshapoteza sio chini ya tano na draw mbili. Hapo mtakuwa na point 11 tu wastani wa point moja kila mechi. Ntakuwa na tofauti gani na Stoke City sasa??
Sent using
Jamii Forums mobile app