Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Uonavyo wewe ktk mechi tano za mwanzo atamaliza hiyo kazi. Kuanza kufungwa siyo tatizo tatizo ni kuendelea kufungwa kila mechi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uzowefu wangu ili team iwe bingwa au hata kuwepo kwenye top four angalau isifungwe mechi zaidi ya tano kwa msimu na draw angalau chini ya kumi.

Sasa ngugu zetu Ass anal mpaka sasa mechi mbili za league mmeshapoteza. Mtakuwa waja wa nani jamani msimu huu? Mbona mnaanza kututia mioyo ya huruma mapema namna hii

Hapo bado hamjacheza na Liverpool, Man U, Spurs achilia mbali kabisa Fulham ambao jana pamoja na Spurs kuwafunga ila spurs wamelala na viatu hoi mpaka sasa hawajaamka.

Arsenal mpaka mechi kumi za mwanzo zinaisha mtakuwa mmeshapoteza sio chini ya tano na draw mbili. Hapo mtakuwa na point 11 tu wastani wa point moja kila mechi. Ntakuwa na tofauti gani na Stoke City sasa??

Huo ni utafiti wako lakini hilo linategemea na aina ya ligi na uwezo wa timu moja moja. Timu inaweza poteza mechi hata zaidi ya hizo na ikawa bingwa. Arsenal msimu wa 2003/2004 hakupoteza hata mechi zaidi ya sare 2 lakini bado hakupishana sana pointi na mtu wa pili. Uingereza timu zote ni nzuri hivyo hakuna ushindi wa mteremko kiasi hicho.
Timu zote zitachezea kichapo kama ilivyokuwa mwaka jana tu hakuna aliyepona.
Mnashangaa kwa kuwa arsenal ndiyo kigogo wa kwanza kula kichapo bila kujua kuwa anayeanza kucheka mwishoni ndiyo Julia na anayeanza kuhuzunika mwishoni ndiye hufurahi. Naiona arsenal ikibeba kombe haya ni maoni yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You cant beat even legless Chelsea defense ndiyo mcheze na MAJOGOO yenye beki imara kwa sasa duniani?
Lkn jana kawaangusha sana Aube,Mikhi na Ilwobi
Wanakosa mabao ya ku press tu kufunga
Poleni sana lkn ndiyo soka!
Bado unathubutu kusema kama HUYAOGOPI MAJOGOO?
Yan wewe jinsi unavyoidharau Chelsea nazifi kukuvutia kasi. Naomba tu usije ukakimbia kama hawa Arsenal walivyokimbia uzi wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni utafiti wako lakini hilo linategemea na aina ya ligi na uwezo wa timu moja moja. Timu inaweza poteza mechi hata zaidi ya hizo na ikawa bingwa. Arsenal msimu wa 2003/2004 hakupoteza hata mechi zaidi ya sare 2 lakini bado hakupishana sana pointi na mtu wa pili. Uingereza timu zote ni nzuri hivyo hakuna ushindi wa mteremko kiasi hicho.
Timu zote zitachezea kichapo kama ilivyokuwa mwaka jana tu hakuna aliyepona.
Mnashangaa kwa kuwa arsenal ndiyo kigogo wa kwanza kula kichapo bila kujua kuwa anayeanza kucheka mwishoni ndiyo Julia na anayeanza kuhuzunika mwishoni ndiye hufurahi. Naiona arsenal ikibeba kombe haya ni maoni yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kula kichapo kawaida kwa kila team lakini ukiwa wa kuchapwa na kila mtu mzee hutoboi. Hapo umetandikwa na wababe bado kuna vitimu vya mchangani vinasubiri kuchukua ujiko kwako. Mwaka huu ass anal mbona mtakonda zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You cant beat even legless Chelsea defense ndiyo mcheze na MAJOGOO yenye beki imara kwa sasa duniani?
Lkn jana kawaangusha sana Aube,Mikhi na Ilwobi
Wanakosa mabao ya ku press tu kufunga
Poleni sana lkn ndiyo soka!
Bado unathubutu kusema kama HUYAOGOPI MAJOGOO?
Wewe hasira za Arsenal zitakuja kuishia kwako. Hata uwe na kikosi bora vip kuifunga arsenal kwako huwa ni mtihani.

Uyo Keita na Fabihno watafanywa mboga
 
Mashabiki wa arsenal mnatakiwa kuwa na subira. Timu haipimwi kwenye friend match. Huyu kocha ni mzuri. Wachezaji wengi hawajui na sasa ndo wamekusanyika anawapima ndiyo maana kila mchezaji amepewa nafasi na amemjua.

Hiki kikosi cha arsenal mwisho wa msimu ndiyo kutakuwa kikosi bora. Mnakuwa na papara kama mashabiki wa Man u.Tunaoelewa mifumo ya makocha tunajua kinachoendelea.
Game hii ya chelsea ni kama ile tu ya man city wachezaji wanatengeneza nafasi nyingi lakin hazitumiki ipasavyo.

Kocha kwa sasa ameshaona viungo wa kuwatumia strong match na wale wa kutumia ktk match za kawaida. Tshaka ni kiungo bora but hana consistency ya kulinda kiwango chake compared na Tolleira na Guendozi ambao wanaonekana ni mwiba wakati wowote.

Chelesea last five game hajachomoka mbele ya arsenal just imagine hata game hii katoka kimiujiza.

Tunaye kocha bora pia tunao wachezaji bora huwezi kutoa tathmini ya kocha kwa mechi mbili tu ni vigumu mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wewe ukiendelea kujipanga, sisi tunaendeleza ushindi.

Mrudisheni Wenger mapema kabla mambo hayaja haribika.
 
Lacazatte,aubemayang,mkhitaryan na ozil wakikaza timu ipo safi hata mech ya city hizo njemba zungekuwa makin mambo yangekuwa tofaut sijui kwa nini wanakuwa wazembe
Kapange wewe ili wasiwe wazembe tena
 
Naandika Maoni Haya Nikiwa Kama Mshabiki Wa Mpira Na Wala Si Mpenzi Wa Timu Fulani.

• Kwanza Kabisa Kosa Kubwa Walilolifanya Washabiki Wa Arsenal Ni Kujijengea False Hope Ya Kuamini Kuwa Emery Kashaitengeneza timu Kwa Mwezi mmoja tu aliokaa Arsenal! Huo Ni Uongo hakuna Timu inayotengenezwa Kwa Miezi Miwili bila Ya Kumwaga Pesa Kama Alivyofanya Abramovic 2004 Kumpatia Pesa Mourinho Akasajili Wachezaji Anaowataka Mwenyewe Kwa Gharama za Juu za Wakati huo.
Najua Anaweza Akatokea Mtu akasema Mbona Sarri Kaiweza Chelsea? Jibu Ni Kwamba Ufahamu Wazi Kuwa Sarri Hajatengeneza Chelsea!!! Sarri anatumia Key Players (Willian, Kante, Hazard, Alonso, Azipilcueta, n.k.) ambao amewakuta Palepale Chelsea ambao last Season waliboronga Kwasababu Ya Sintofahamu na Kocha wao. Tofauti na Arsenal.

Twende Kwenye Timu:
Kwasasa Arsenal Haihitaji Kuboreshwa Bali inahitaji Kutengenezwa Upya.
Kwamfano Klopp Alipokuja Liverpool alitaka 'KUIBORESHA TIMU' hatimae Mashabiki Wafia Timu Tulimpinga Vikali na Kumshutumu Dhamira Yake na Kumwambia Kuwa Timu haihitaji Kuboreshwa Bali INAHITAJI IJENGWE UPYA KWA WACHEZAJI WAPYA Hata Kama itachukua Miaka 3.
Kuanzia msimu uliopita Ndiyo Kaamua Kuyafanyia Kazi Mawazo yetu Ya Kujenga Timu ambayo mpaka sasa anaendelea Kuyafanyia Kazi Kwa Kununua Wachezaji Wapya.

√ Sasa Ukija Kwa Arsenal Utakuta Wachezaji Kama Ozil, Mkhitaryan, Aubana, Ramsey na Ceck jamani tuweni Wakweli Hawa Kwa Umri wao Ni Kuwa Wanatumia Uzoefu tu na Vipaji Binafsi la Hawezi Kuboreka Vipaji Vyeo Zaidi Ya Hapo Walipo.

Kwahiyo Kwasasa Kocha Aachane na Kujidanganya Kuboresha Vipaji Bali Aijenge Upya Timu Kwa Kusajili Wachezaji Wapya Ambao Maximum Umri uwe Ni 26yrs ambao atahitaji Muda Kidogo Kuikamilisha Hii Project Bali Mashabiki Wasione tabu Kustahamili Kwa Miaka 3 au 4 ya Ujenzi.

Kwahiyo Emery atulie ajenge Timu Upya Kabisa, Lakini Akijifanya Kutaka Kuiboresha Hii iliyopo basi Asubiri Mabango ya UneyOut.

Haya Ni Maoni Yangu Kama Mshabiki Wa Mpira na Si kama Mshabiki Wa Liverpool"
 
Back
Top Bottom