Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Half time bado 1-1 ila wazee time leo inacheza mpira m'bovu sana tofauti na game yetu zidi ya chelsea
 
HT
Arsenal 1-1 WHU
Leo eneo la kati tumepwaya sana hakuna kabisa creativity na backline inaendelea kufanya makosa ya kitoto kama kawaida.
 
Monreal
1535208407081.gif
1535208444814.gif
 
Half time bado 1-1 ila wazee time leo inacheza mpira m'bovu sana tofauti na game yetu zidi ya chelsea

Ozil ni kama deep freezer mara nyingi anaipoza timu inapopata moto na anatoa nafasi ya waliopata moto kujipanga na kufanya maamuzi sahihi,siku ambayo hachezi utaona pale kati wanavurugana tu.
 
Ozil tatizo lake timu ikizidiwa tu humuoni uwanjani
 
Back
Top Bottom