


imebidi nicheke tu maana hakuna namna,ivi hao United na Chelsea wana wachezaji gani hasaa wa kutisha mpaka Ramsey,Xhaka,Iwobi waonekane ni wabovu sanaaaa yaani kuna tofauti ya akina Young,Jones,Smalling,Herrera na wachezaji wa Arsenal ivi lile kundi la wahuni la Chelsea useme wanawazidi hasaaa squad ya Arsenal ebu punguzeni mahaba.
Unai Emery ni kocha mpya wa Arsenal sielewi mlikua mnataka nani apewe timu maana mmekuja mbio kumkosoa na sababu lukuki ni juzi tu hapa mlikua wachambuzi mkitunanga kisa Arteta alikua apewe timu leo mmegeuka anasema Unai ni tuone msimu ukianza kwanza wapo akina Klop na Mo' toka wamechukua vibarua vipya nao wanasota kubeba EPL achana na Spurs ambao kwao kombe lolote ni mtihani sasa sijui wanatisha kwa lipi.