Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Alikua na kikosi cha wachezaji wa aina gani, hakuna timu yenye matokeo mazuri against Barcelona au Real Madrid
Kwani Arsenal ina wachezaji gani ?

Kwa wachezaji haohao aliweza kuchukua Uropa mara 3 ,so mtakuwa timu ya Uropa
 
Kwa Taarifa Yako: Unai Emery amekutana na Pep Guardiola mara 10, Jose Mourinho mara 5 - katika mechi hizi 15 hajashinda mechi hata 1.

Kafungwa 10
Sare 5
hahahahahahahahaahah

Walikutana Unai akiwa anafundisha timu gani na hao(Pep & Mo') walikua wanafundisha timu gani?
 
ULE UZUSHI AMBAO UNAOENEA MITANDAONI KUWA ARSENAL IMETENGA PAUN MIL 50 TU, GAZID (C. E. O WA ARSENAL) AMEUELEZEA

Gazidis on Arsenal’s reported £50m budget: “We don’t discuss our budgets publicly, but we are a public company. If you want to look at our accounts, you can. We run a self sustaining model & we will continue to do so. All the money that is available will be to Unai.” [HASHTAG]#afc[/HASHTAG]

NDIO MAANA NILISEMA TOKA AWALI SIO KILA KITU CHA KUOKOTA MITANDAONI NA KWENYE VYANZO VYA UDAKU
 
kuna wale wanaosema Unai Emery alishindwa kuipa UCL PSG yenye best players wakutosha je ataweza kufanikiwa arsenal

nakumbusha Jose Mourinho aliweza kuwapa FC PORTO UCL akashindwa akiwa chelsea ilokuwa na watu kweli kweli
so msikariri maisha kwenye soka time will tell
 
Mzee

Emery ni specialist wa Uropa na Arsenal msimu ujao mtacheza huko,huku Champions League sio sehemu ya kuongelea sababu sidhani kama kwenye msimu wake wa kwanza ataweza kumaliza top four
 
Wewe ni mtabiri tambi tambi?
 
Mzee

Emery ni specialist wa Uropa na Arsenal msimu ujao mtacheza huko,huku Champions League sio sehemu ya kuongelea sababu sidhani kama kwenye msimu wake wa kwanza ataweza kumaliza top four
Na chelsea mtamaliza nafas ya ngapi? Maana inaonesha ww ni mtabir tambitambi
 
Kwa taarifa tu:- Msimu wa 2017/18
Unai Emery = Makombe 4
Conte+ Mourinho +Guadiola + Klopp + Makocha wote wa EPL = Makombe 3
Halafu anatokea jinamizi anasema Emery sio kocha.!!!!???
 
Nimeipenda hii.
Alafu nimemsikiliza akiongea ktk press yake ya kwanza, inasemekana jamaa lugha ya malkia haipandi bado ila kaonyesha ujasiri kupanda nayo hiyo hiyo na anaeleweka vizuri kabisa. Huyu jamaa yuko vizuri, nafikiri tumpe muda ila namuona kama a no nonesense guy, wachezaji wetu watoke ktk comfort zone zao sasa!
COYG!
 
Hayo makombe unayozungumzia na wachezaji waliokuwa nao hata Wenger angekuwa PSG angechukua yote kumbuka hii ni EPL
 
Dunia inazunguka kwa kasi sana
Screenshot_2018-05-23-20-15-04.jpg
 
Nimeipenda hii.
Alafu nimemsikiliza akiongea ktk press yake ya kwanza, inasemekana jamaa lugha ya malkia haipandi bado ila kaonyesha ujasiri kupanda nayo hiyo hiyo na anaeleweka vizuri kabisa. Huyu jamaa yuko vizuri, nafikiri tumpe muda ila namuona kama a no nonesense guy, wachezaji wetu watoke ktk comfort zone zao sasa!
COYG!
Mkuu huyu jamaa anajitahidi sana kujifunza lugha mpya ili aendane na mazingira, hata kifaransa alijifunza kwa muda mfupi.
Jambo la muhimu ni kumpa muda. Tusimpe matarajio makubwa sana kama aliyopewa Moyes mwisho akashindwa kudeliver.
Natumai atakaa muda mrefu pia maana hayupo kwenye klabu yenye presha sana kama ilivyokua PSG.
 
Unadhani hata Wenger angekua Man City angeshindwa kubeba EPL?

EPL ni ngumu sana kumbuka Pep msimu wa kwanza hata top four ilikuwa kasheshe kuipata kwa sasa Wenger asingeweza kuwa-motivate wachezaji ukilinganisha na Pep
 
Hayo makombe unayozungumzia na wachezaji waliokuwa nao hata Wenger angekuwa PSG angechukua yote kumbuka hii ni EPL
EPL ni ngumu sana kumbuka Pep msimu wa kwanza hata top four ilikuwa kasheshe kuipata kwa sasa Wenger asingeweza kuwa-motivate wachezaji ukilinganisha na Pep
Mkuu, Man City ina kikosi ghali zaidi duniani kuzidi hata PSG hivyo ni wazi kwamba kocha yoyote anaweza kufundisha pale na akapata mafanikio (endapo mafanikio ya timu yanapimwa kwa ubora wa kikosi)
Pili PSG inashiriki kwenye michuano mingi zaidi (Michuano 5) hivyo kocha kufanikiwa kutwaa makombe ma4 ni achievement kubwa na inabidi apate credit kwa hilo.
Kuhusu ugumu au ulaini wa EPL unategemeana na kocha tu.
 
Tatizo wanakariri hao konte, wenger mou misimu yao ya kwanza wamebeba Epl
 
Back
Top Bottom