Tuongee kwa takwimu, hasa katika mashindano ambayo hizi timu zinakutana. EPL title haina mwenyewe kwa sababu katika miaka kumi iliyopita hakuna timu iliyokuwa na hati miliki ya kombe, LA LIGA nayo imekuwa competetive kwa sababu kombe limegawanyika katika timu tofauti.
Watu wanatoa hoja ya LEAGUE 1, BUNDESLIGA na SERIE A kuwa weak leagues kwa sababu timu moja zimekuwa dorminant kwa miaka mingi bila upinzani wa nguvu.
Kwenye CL na Europe League, basically timu za Spain zime-dominate sana kwa miaka kumi iliyopita, sio England, France au Italy zilizofanya vizuri, walau Bayern aliwakilisha vizuri kiasi.
Ukiangalia takwimu za miaka kumi, Italy imechukua mara moja tu, kupitia Inter Milan, England mara mbiki, Man U na Chelsea, Germany mara moja kwa Bayern, zingine zote ni Barcelona na R. Madrid.Tuongee kwa takwimu, hasa katika mashindano ambayo hizi timu zinakutana. EPL title haina mwenyewe kwa sababu katika miaka kumi iliyopita hakuna timu iliyokuwa na hati miliki ya kombe, LA LIGA nayo imekuwa competetive kwa sababu kombe limegawanyika katika timu tofauti.
Watu wanatoa hoja ya LEAGUE 1, BUNDESLIGA na SERIE A kuwa weak leagues kwa sababu timu moja zimekuwa dorminant kwa miaka mingi bila upinzani wa nguvu.
Kwenye CL na Europe League, basically timu za Spain zime-dominate sana kwa miaka kumi iliyopita, sio England, France au Italy zilizofanya vizuri, walau Bayern aliwakilisha vizuri kiasi.
Ukiangalia takwimu za miaka kumi, Italy imechukua mara moja tu, kupitia Inter Milan, England mara mbiki, Man U na Chelsea, Germany mara moja kwa Bayern, zingine zote ni Barcelona na R. Madrid.
View attachment 786056