Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sikubaliani na wewe mkuu. Kwa kipindi hiki Arsenal inahitaji kocha mzoefu atakayeirudisha (a) katika top 4 (b)kugombania ubingwa sio mambo ya kujaribu jaribu. Kocha mzoefu kama Ancelotti ataweza kushawishi wachezaji wazuri kuhamia Arsenal na wengine kubaki Arsenal. Ukileta kocha sijui bwana mdogo atakuwa na wakati mgumu kumanage na kucontrol egos in the dressing room. Kumbuka ktk soka au michezo mingine hakuna plan ya kuwa na kocha for a long term. Makocha wote waliokaa ktk timu for a long time walikaa kwa sababu ya mambo mazuri waliyoyafanya sio ilikuwa plan from the beginning. Mfano Sir Alex inasemekana ilikuwa kidogo atimuliwe then akawin kombe la kwanza, wakampa trust. Isingekuwa hivyo angeshatimuliwa. Kifupi ni kuwa kukaa kwa kocha kwa muda mrefu ktk timu ina involve trust aliyopewa na board na mafanikio yake wakati akiwa kitini.
sahihi mkuu vilevile player wakubwa wengi hawawapendi hawa makocha wadogowadogo dizain za kina arteta,wanataka kocha ambaye akiwatuma kufanya jambo wanatoa mwitiko halisi,mfano mzuri mesut yeye anasema ameongeza mkataba sababu ya wenger na amesikitika mno kuondoka kwake lakini anategemea atakayekuja ni kocha mkubwa dizan za kina wenger ili kuwe na discpline .........hawa makocha wadogo hawana mvuto kwa wachezaji wakubwa
 
Tuchel & Jardim wanaweza kuifikisha Arsenal top 4 ,Ancelotti hana njaa ameshinda almost kila kitu na ameshafundisha ligi kubwa zote (Italy,England,France,Spain & Germany) ni pia rekodi yake sio nzuri kwenye domestic league.

Ancelotti ni kocha wa budget kubwa kitu ambacho Arsenal hawawezi kumpa hela but Allegri,Jardim na Tuchel sio makocha wanao hitaji budget kubwa

Mkuu huyu mdingi kabeba makombe karibia kila nchi aliyofundisha. Iwe ligi, au cups pamoja na European club competitions. Kitu ambacho hajafanya ni kukochi timu za taifa. Sijui una maana gani kusema hana rekodi nzuri katika ligi za hizo nchi ulizozitaja. Timu zake alizokwisha kochi zilikuwa zinacheza attacking football sio too much defensive football kama ya Mourinho. Nachokukubalia ni kuwa timu zake nyingi alizokochi zilikuwa na mshiko mzuri katika usajiri kitu ambacho wabahiri wa Emirates watashindwa kumtimizia.
 
kwahili haupo sahihi mkuu ukisema kuwa ANCELOTTI ameshiba mafanikio dah hiyo ndio nakusikia wewe ,unasemaje maneno kama hayo katika dunia hii ya marekodi kila mtu anataka kuweka rekodi kubwa isiyofikiwa na wengine ili awepo katika vtabu vya kumbukumbu ya vizazi kwa vizazi............na ukisema mzee hayupo vizuri katika domestic league unamaanisha yupo vizuri katika international league eg. UCL e.t.c na sisi ndio njaa yetu hiyo so bado naona point zako hazijawa na mashiko........kikubwa tuangalie nani atakuwa selected
Ancelotti ni kocha mzuri sana kwenye mashindano ya mtoano (UCL) kwenye ligi sio kocha mzuri sana rekodi yake iko wazi na nimekwambia Carlo ni kocha anayehitaji bajeti kubwa angalia wachezaji aliowanunua timu alizopitia tunafahamu Arsenal inavyoendeshwa hawataweza kumpa hela atakayoitaka
 
Mkuu huyu mdingi kabeba makombe karibia kila nchi aliyofundisha. Iwe ligi, au cups pamoja na European club competitions. Kitu ambacho hajafanya ni kukochi timu za taifa. Sijui una maana gani kusema hana rekodi nzuri katika ligi za hizo nchi ulizozitaja. Timu zake alizokwisha kochi zilikuwa zinacheza attacking football sio too much defensive football kama ya Mourinho. Nachokukubalia ni kuwa timu zake nyingi alizokochi zilikuwa na mshiko mzuri katika usajiri kitu ambacho wabahiri wa Emirates watashindwa kumtimizia.
Licha ya kufundisha miaka 8 AC Milan unafahamu kuwa Carlo amecheza fainali 3 za UCL lakini alichukua Serie A mara moja licha ya kuwa na kikosi hatari while wapinzani wa Milan walikuwa hoi,Misimu 2 Real Madrid alikuchukua UCL lakini kwenye ligi akachemsha,Kama timu inataka kuchukua UCL Carlo ni specialist hata kina Pep hawamwezi lakini domestic league inamsumbua,
 
sahihi mkuu vilevile player wakubwa wengi hawawapendi hawa makocha wadogowadogo dizain za kina arteta,wanataka kocha ambaye akiwatuma kufanya jambo wanatoa mwitiko halisi,mfano mzuri mesut yeye anasema ameongeza mkataba sababu ya wenger na amesikitika mno kuondoka kwake lakini anategemea atakayekuja ni kocha mkubwa dizan za kina wenger ili kuwe na discpline .........hawa makocha wadogo hawana mvuto kwa wachezaji wakubwa
Mambo yamebadilika makocha wanaofanya vizuri sasa ni vijana (Pep,Klopp,Jardim,Zizzou,Allegri,Pochettino,Conte,Inzaghi)
 
Natabiri hii timu atapewa Mark Hughes au Tony Pulis wakikataa basi ni Big sam.
 
Miaka 14 sasa tangu Arsenal walipochukua ubingwa wa EPL huku wakijiwekea rekodi ya kipekee kabisa ya kuchukua ubingwa bila ya kupoteza mchezo hata mmoja (15-5-2004).
Michezo 38
kufunga 26
Draw michezo 12
kufungwa 0
Unapoitazama hii picha unakumbuka nini ukiachana na kuchukua ubingwa bila ya kupoteza mchezo hata moja?
FB_IMG_1526371478764.jpg
 
Miaka 14 sasa tangu Arsenal walipochukua ubingwa wa EPL huku wakijiwekea rekodi ya kipekee kabisa ya kuchukua ubingwa bila ya kupoteza mchezo hata mmoja (15-5-2004).
Michezo 38
kufunga 26
Draw michezo 12
kufungwa 0
Unapoitazama hii picha unakumbuka nini ukiachana na kuchukua ubingwa bila ya kupoteza mchezo hata moja?View attachment 777983

May 15 2004,kumbukumbu ambayo haiwezi kufutika bado naamini hatuwezi kupata kikosi bora kama kile (talent & morale) bado wengi wanajaribu kurudia kile 'invicible' walifanya ila wanashindwa.
IMG_5929.JPG

IMG_5932.JPG

IMG_5931.JPG

IMG_5930.JPG
 
Mkuu, hata tukipiga kelele humu JamiiForums nani atatusikia?! kumbuka tu wale season ticket holders hawasikilizwi ndio itakuwa sisi?! Timu kubwa tunampa mtu hana uzoefu?! ( I stand to be corrected on this), I am absolutely furious, but in vain...
Msijali, mbona Barca walipewa Guardiola akiwa junior kabisa kwenye coaching role lakini aliperform?? Kuweni na subira, mtatoboa tu.
 
Hizi habari za kuja kwa Arteta ni kweli wadau?

Arteta ndio anaongoza mbio za kukabidhiwa mikoba sabau kubwa yeye ni CHEAP ukifananisha na wengine.
Hata kabla ya kelele za WENGER OUT hazijaisha nahisi zitaanza za Arteta OUT .
 
Msijali, mbona Barca walipewa Guardiola akiwa junior kabisa kwenye coaching role lakini aliperform?? Kuweni na subira, mtatoboa tu.

Seriously bro'...ile squad ya Barca aliopewa Pep hata angepewa Le Mutuz basi angepata matokeo chanya,imagine kulikua na:-
Xavi
Iniesta
Pique
Puyol
Eto
Yahya
Henry
Alves
Hleb
MESSI(hili shetani pekee ake ni matoke tosha) sorry kama yupo nimemuongeza hapo kwenye list.
Wote wakiwa wa motoooo alafu unataka uyu Arteta alete maajabu na Iwobi,Hector,Mustafi and the like uh uh you must be kiddin bro'
 
Tuchel & Jardim wanaweza kuifikisha Arsenal top 4 ,Ancelotti hana njaa ameshinda almost kila kitu na ameshafundisha ligi kubwa zote (Italy,England,France,Spain & Germany) ni pia rekodi yake sio nzuri kwenye domestic league.

Ancelotti ni kocha wa budget kubwa kitu ambacho Arsenal hawawezi kumpa hela but Allegri,Jardim na Tuchel sio makocha wanao hitaji budget kubwa
Bottom of the line hakuna anayeshiba $€£¥ kaka labda afya isimruhusu.
 
Ingawaje sitaki Vieira, Henry ,Arteta, Bergkamp au kocha mwingine asiye na uzoefu au CV nzuri kupewa mikoba, wakimpa Arteta wata-confirm narrative na fikra juu ya ubaguzi uliopo ktk soka vs makocha weusi. Arteta (I admit sijui knowledge yake kiukocha) hana tofauti na kina Bergkamp, Henry or Vieira ktk nyadhifa hii . No experience whatsoever. Afadhali PV atasema ameongoza timu as the coach
 
Mkuu Sio Kwamba Makocha Wenye CV Kubwa Hawapo Wanaotaka Kuifundisha Arsenal! Wapo Kibao Kwani Almost Kila Kocha Anahamu Ya Kumrithi Wenger ili ajijengee Heshima Kupitia Title ya Wenger.

Lakini Problem Lipo Kwenye BUDGET! Kwasasahivi Kocha ambaye tayari Ameshajijengea CV nzuri Ukimgusa tu basi atakwambia Salary Yangu Ni £16m au zaidi per year (wakati Wenger mwenyewe alikuwa akilipwa £8m per year) Na atakuekea Sharti la Kimaandishi Kuwa Katika First window tu Yake umpe £200m za usajili na Second window umpe £100m ili akamilishe £300m Katika First Season Yake.

Sasa hapo ndiyo Owners Wanapopishana Kauli na Makocha World Class Wakati Utajiri uliyonayo Club Ya Arsenal Wanauwezo Hata Wa Kumng'oa Guardiola Pale Man City.

Lakini Ukimuangalia Arteta Hata Salary ya £7m per year yupo tayari na Hata Kama Hakupewa Hata senti ya usajili Katika Season nzima basi yupo tayari na kikosi hichohicho kwanini Matajiri Wasimkubali?

Mkuu Arteta ameshafocus Mbali hapo! Anataka Just kuja kuandika CV tu Arsenal ili Atambulikane Rasmi Katika Ukocha Hata kama akitimliwa Arsenal.
 
Ingawaje sitaki Vieira, Henry ,Arteta, Bergkamp au kocha mwingine asiye na uzoefu au CV nzuri kupewa mikoba, wakimpa Arteta wata-confirm narrative na fikra juu ya ubaguzi uliopo ktk soka vs makocha weusi. Arteta (I admit sijui knowledge yake kiukocha) hana tofauti na kina Bergkamp, Henry or Vieira ktk nyadhifa hii . No experience whatsoever. Afadhali PV atasema ameongoza timu as the coach

Arteta is cheap option hasa kwenye budget,he's amateur na sababu kubwa ya kung'ang'aniwa ni ubahili tu nawaza tu yeye mwenyewe alikosa game time kwenye misimu miwili ya mwisho sijui ata-command vipi dressing room yake naona wanaompigia debe wanakomaa kua amepikwa na Pep ivyo anatosha kuja Arsenal.
Hapa ni bora yule babu kuliko tatizo tunaloletewa,kama siku zote nitam-support yoyote yule ambae atakua kocha wetu.
 
Back
Top Bottom