Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sidhani kama mzee wangu Bould atabaki maana baada ya AW kuondoka kuna vigogo wawili tayari washapoteza ajira alianza kit manager ambae amekua Arsenal muda mrefu akafuata Head of medical service Colin Lewin ambae amefanya kazi 23 years nahisi wameamua kuanza upya ni vema Bould akamfata AW au atafute hata timu ya kawaida tu apumzike.
Uzuri ni kwamba akija kocha mpya huwa mara nyingi anakuja na timu yake ya technical. Nilisoma Arteta atamfanya Carzola kuwa assistant wake, let's wait n see
 
Bora wangemwaga pesa kwa kocha wa Monaco. Anyway, hawa wanaoongoza club ni bahili's kinomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Budget ya msimu huu ni £ 50M kabla hatujauza wachezaji na sijui tunauza yupi sasa sidhani kama kuna kocha mwenye weledi wake angekubali kuja kwenye mazingira kama hayo.
 
Duh imebidi nicheke tu hakuna namna sasa kati Lacazette na OG nani ni bingwa wa kufanya utumbo?Ila hata dogo Martial kaonja joto ya jiwe ingawa naona kama wamemfanyia sivyo.
Wapo sahihi kwa 100% cz anachoOFFER giroud naamini laca hawezi kuoffer ila laca na martial hawana kipya ambacho kitashindwa kufanywa na grizman na mbappe na dembele.....
 
Fewest games needed to score 10 Premier League goals for Arsenal:

Pierre-Emerick Aubameyang (13)
Ian Wright (14)
Alexis Sánchez (17)
Andrey Arshavin (21)
Nwankwo Kanu (22)

Ian Wright only needed nine to score 10 top-flight goals for the club.
 
Mtonyo
IMG_20180518_230517_284.jpg
 
Fewest games needed to score 10 Premier League goals for Arsenal:

Pierre-Emerick Aubameyang (13)
Ian Wright (14)
Alexis Sánchez (17)
Andrey Arshavin (21)
Nwankwo Kanu (22)

Ian Wright only needed nine to score 10 top-flight goals for the club.

Auba akikomaa na kiwango hiki basi atakua msaada sana msimu ujao tuombe Mungu kusiwe na majanga.
Ian Wright ndio mfungaji wa goli la kwanza tukiwa chini ya AW (Oct.12.1996) na burudani zaidi mtu mweusi Auba anafunga goli la mwisho kwa AW.
 
Safi sana nilichompendea huyu mzee hakuwa mbaguzi ametoa vijana wengi wausi,yeye alijali vipaji tu na sio rangi..........
 
TUSOME TUPATE MAARIFA! [HASHTAG]#copyed[/HASHTAG]

*MAWAZO YANGU KUHUSU YA MIKEL ARTETA KUWA KOC

Kwa mara ya kwanza kwenye historia yake, Arsenal itakua na cheo cha Football director ambae ni Raul Sanllehi *(kabla hajaja Arsenal alikaa miaka 15 kwenye cheo icho Barcelona, engineered Neymar, Suarez, dembele, Coutinho moves and convinced Barcelona to sign Paulinho ambae kila mtu alimkataa ikiwemo Barcelona directors and fans)*

Kwa mara ya kwanza Arsenal ina department ya recruitment na head wake ni Sven Minslintant *(they call him a diamond eye, Kwa kusaidiana na Jurgen Klopp waliifanya ile Dortmund ya 2000-2015 vile ilivyokua)*

Kwa mara ya kwanza kwenye historia yake bodi ya Arsenal imekua na bodi member ambae ana chini ya miaka 40 na mtu wa pili kwenye maamuzi makubwa juu ya klabu Arsenal *(Josh Kroenke, 37)*

Kwa mara ya kwanza Chief executive wa Arsenal Ivan Gazidis atakua na mamlaka ya halisi ya CEO tangu aondoke David Dein 2007, kwa miaka yote hii amekua kwenye kivuli cha Arsene Wenger *(before hajaja Arsenal Ivan alikua moja wa wakurugenzi wa Bodi ya ligi kuu soka ya marekani, MLS. He played a major role on developing it)*

Kwa mara ya kwanza kwenye historia yake Arsenal inabadilisha mfumo wake wa uendeshwaji. Sasa timu itakua inafundishwa na Kocha na sio Manager. Na huyu kocha atakua answerable to Club's CEO na Director of football kama timu zote ulaya zinavyofanya kwa sasa.

Na huyu kocha kama inavyozungumziwa na kuhusiwa na wengi anaitwa *Mikel Arteta*

Kumchagua Arteta kama mrithi wa Arsene Wenger ni kamari. Uwalakini na wasiwasi unaeleweka. Tayari uteuaji huu umeshaanza kugawanya mashabiki ambao walikua wameshagawanyika tayari kwa
uwepo wa Arsene Wenger.

Mikel Arteta hajawahi kufundisha timu yoyote kama kocha mkuu. Uzoefu wake umekuja kama kocha msaidizi Pep Guardiola at Manchester City

Mshabiki yoyote Arsenal angetamani kuona kocha atakae mrithi Arsene Wenger awe ni kocha mzoefu mwenye CV kubwa na nzuri.

Mikel Arteta alilelewa kwenye shule ya soka ya Barcelona maarufu kama La Masia, amecheza na kuongozwa Mauricio Pochetino kama captain wake (kocha wa sasa wa Tottenham) huko Rangers

Amefundishwa Everton na David Moyes zaidi ya miaka 3, Amefundishwa na Arsene Wenger kwa miaka 5. Alikua Captain wa Arsenal, yeye na viongozi wengine kama Per Mertesecker waliisaidia Arsenal kuvuka moja ya kipindi kigumu katika historia ya Arsenal (2011-2013, Arsenal iliuza wachezaji wengi nyota, kupigwa 8-2 n.k)

Baada ya miaka 9 bila kikombe chochote, Arsenal Under captain Mikel Arteta walishinda kombe la FA kwa misimu miwili mfululizo. Akiwa Arsenal aliendelea kuchukua course ndogo ndogo mbalimbali za ukocha *(Cha kushangaza kama alikua hachezi, Arteta alikuaga hakai kwenye benchi la wachezaji wa akiba Arsenal, alikua anakaa kwenye benchi la ufundi la Arsenal)* Hii ni kengele ya kwanza kulia kwenye akili yangu, ilitokea msimu wa mwisho wa Arteta ambao alikaa sana nje kwa majeruhi na nikahisi kuna kitu hapa. How can this happen? was he a player-coach?

Na Mwaka 2016, aliamua kuacha kucheza soka baada ya kusumbuliwa na majeraha. Na siku ya mwisho anachezea Arsenal alilia sana huku akiwaaga mashabiki uwanjani Emirates *(Kengele ya pili ililia kwenye akili yangu, huyu analia nini na hajakaa kivile hapa)*

wakati akijiandaaa kuondoka Arsenal Simu ya kwanza ilitoka kwa Mentor wake wa zamani Mauricio Pochetino akimuhitaji kama msaidizi wake Tottenham Spurs.

Kwa heshima aliyokua nayo Arsenal alikataa ofa ya Spurs. Simu ya pili ilikua ya Pep Guardiola. Huwezi kukataa kufanya kazi na kocha ambae to many ndie kocha bora zaidi kwenye ramani ya soka kwa sasa. Akaenda kua kocha msaidizi wa Pep G at Manchester City. Hata mimi nisingekataa.

Aliondoka Arsenal kwa baraka zote, na tetesi nyepesi sana zilivuja kua siku moja Arteta atarudi Arsenal, nilihisi hiki kitu lakini sikutegemea kama itakua mapema kiasi hiki.

Na miezi 24 baadae, hatimae Mikel Arteta anarudi "nyumbani" Arsenal kama kocha mkuu. Kama una akili kama mimi, utahisi kitu. Hii inaonekana ni kama dili ambayo ilishapangwa muda mrefu. Sema tu imewahi kidogo. Nafikiri Arteta alishaandaliwa kuja kua mrithi wa Arsene Wenger na ilipangwa iwe 2019. Sema mwenendo m'mbovu wa Arsene Wenger umewaisha mpango mzima

Wengi wana wasiwasi na uteuzi huu lakini kwa maoni yangu mimi nafikiri huu uteuzi unaweza ukawa chachu mpya, mwanzo mpya wa historia ya Arsenal, mwanzo mpya wa mfumo mpya wa Uendeshaji wa Arsenal. Nafikiri kwa timu iliyo nyuma ya Arteta, itampa msingi mzuri, mkubwa na nafikiri atafanya vizuri. Arsenal kabla ya kuondoka Arsene bado ilikua inaendeshwa kama its 1990's

Timu hii ni utatu mtakatifu wa *IVAN GAZIDIS, RAUL SANLLEHI NA SVAN MINSLATAT*. Mafanikio ya Arsenal kwa sasa yanategemea mahusiano mazuri ya hawa watu wao kwa wao, na wao na kocha mpya ambae tunaamini ni Mikel Arteta.

Chini ya Arsene Wenger Arsenal imemaliza ligi nafasi ya 6, ikicheza soka bovu kabisa lisiloeleweka tangu nianze kuifahamu Arsenal. mwaka 2018 Arsenal imefungwa game zote za ugenini kasoro mechi moja na ina wachezaji kama Lacazette, ozil, Aubamayeng na Mikhtryan. Hawa ni World class players, ni wachezaji ambao kila kocha anataka kua nao

Je unafikiri Arsenal under Arteta itamaliza nafasi ya 7, 8, 9.....?

Itafungwa mechi za Ugenini zaidi ya 12 ndani ya msimu mmoka?

Itafungwa
4-0
3-0
5-1
8-2
10-2
6-0

n.k?

Unafikiri kiungo ya Arsenal chini ya Arteta itakua unbalanced kama ilivyo saivi?

Je Arsenal ya Arteta ukabaji wake utakua kama ulivyo sasa?

Mimi nafikiri yote haya hayatokea. Je nafikiri Arsenal itachukua ubingwa? Kwa kweli sijui, atleast not next season.

Kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho ni kwamba Arsenal itabadilika. Ninajua namna yao ya kucheza itabadilika.

Mikel Arteta hana uzoefu wowote wa ukocha. Lakini by the out look ana kila dalili ya kua kocha mzuri wa kisasa.

-He is young
-He is visionary
-He is ambitious
-Anapenda ukocha, he has admited that.

Sifa nyingi zimemiminika kutoka Coaching staffs wa Arsenal, wachezaji wa Arsenal na to his credit watu wengi ambao ni Manchester City insiders wanamsifia sana Mikel.

Amekua sehemu ya Manchester City iliyoandika historia msimu huu na kuvunja kila aina ya rekodi kwenye ligi kuu ya Uingereza, na yeye kama kocha msaidizi na kiongozi wa mazoezi according to reports, then he is very much part of it.

Mashabiki wa Arsenal hawatakiwi kuogopa. *I think wana haki ya kua waoga, kua nervous but they should absolutely feel excited*

Kinachotakiwa ni kumsupport kwa 100%, ku support timu kwa 100% na kumpa muda. I predict msimu wake wa kwanza na wa pili kutokua misimu mizuri sana. Hata uongozi wa Arsenal unalijua hili. Arteta ana miaka 36 and for sure uteuzi huu si wa muda mfupi ni dhahiri kabisa *this is a long term strategy*.

Arsenal fans kama ni kufunga mikanda wafunge tu. This is going to be a pretty much rough ride but its gonna be an exciting journey and they will surely enjoy along the way.

Arteta ana akili sana. He was one of the anchor of an Arsenal midfield ambayo ilimfanya Aaron Ramsey acheze soka safi kuliko Yaya Toure msimu anafunga goli 18. Arteta controlled the midfield na alioongoza arsenal vizuri sana mpaka Majeruhi yaliyopoanza kuindama Arsenal na yeye pia na he never became the same player since that season na kiungo ya Arsenal haijawahi kuwa balanced since then.

Mikel Arteta atafanikiwa. Hana uzoefu lakini hata Zinedine Zidane na Pep Guardiola walipoanza kufundisha Real madrid na Barcelona *they had no experience or they had less*. na huko Madrid B na barcelona B hawakufanya vizuri sana tu.

Ebu nikumbushe kabla hajachukua ubingwa wa Ulaya na FC Porto 2004, Mourinho alikua anafundisha timu gani (mimi sijui)

Athletico Madrid ni timu ya kwanza ulaya kufundishwa na Diego Simeone na alitoka huko kwenye ligi ya Argentina ambayo wewe unaeisoma hii post hujui hata mchezaji mmoja zaidi ya Carlos Tevez, the rest aliyoyafanya Athletico Madrid ni historia.

Si kila wakati uzoefu unafanya kazi. Kama unapingana na mimi waulize ninu kimewatokea na David Moyes, Louis Van Gaal and what is happening with Jose Mourinho.

Kama ni uzoefu, Even Tony Pulis ana uzoefu na Premier league angekuwa kocha wa arsenal
 
Uchambuzi mzuri,binafsi mimi ni mpenzi wa ARSENAL na naunga mkono hili......kama akija arteta,vieira, au henri hizi ni damu zetu.....tupo pa1
 
BAADA YA MAKUBALIANO YA AWALI ARTETA ATOA SHARTI ZITO.
Arteta ameripotiwa kufikia makubaliano ya awali na uongozi wa Arsenal kuchukua pahala pa Wenger.

Arteta anataka aondolewe mtaalam wa matibabu wa Arsenal bwana Colin Lewin kutokana na kile kilichoelezwa kuwa alishindwa kumtibu vizuri alipokuwa akicheza Arsenal na ndiyo source ya majeraha ya mara kwa mara pale Arsenal.
 
Nice article mkuu, tuwe optimistic tu mambo yatakaa sawa.
 
Kila la heri Arteta.. Mteja mpya wa wakubwa EPL.. Tutakusanya point sita sita kwa Arsenal kila msimu kama kawaida
 
Budget ya msimu huu ni £ 50M kabla hatujauza wachezaji na sijui tunauza yupi sasa sidhani kama kuna kocha mwenye weledi wake angekubali kuja kwenye mazingira kama hayo.
£50M ni tetesi for now. Sidhani kama watakuwa wabahili hivi. Mchezaji mmoja mzuri anacost more than that. Unafikiria watapata wachezaji gozigozi wangapi kwa pesa hiyo ?
 
UMENENA VIZURI MKUU KWANGU MIMI ARTETA NI BORA SANA KULIKO HENRY AU VIERA MAANA NIMEFUATILIA FALSAFA ZAO ZA MPIRA KIMANENO NA KIMATENDO WAKO CHINI SAANA KWA UBORA TUNAO UTAKA NA KUENDELEZA SOKA LETU LILE....ARTETA NAAMINI NI MTU SAHIHI SANA KWA KIPINDI HIKI,PIA KITU KIZURI ANAPEWA ARSENAL AMBAYO INAHITAJI MAREKEBISHO SEHEMU CHACHE SANA ILI IWEZE KUWA BORA..
 
Back
Top Bottom