McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Timu ya Huddersfield na mashabiki wao kesho wamepanga kumuaga AW kwa kusimama na kupiga makofi katika dakika ya 22 ya mchezo ikiwa ni ishara ya kumuaga AW alieitumikia Arsenal kwa miaka 22 ikumbukwe kesho itakua ni mechi yake ya mwisho kama mwalimu wa Arsenal.
Wenger akiondoka (Colney) baada ya mazoezi yake ya mwisho leo ikimaanisha hatorudi tena hapo kama mwalimu wa Arsenal hii ni rasmi mwisho wa Wenger umefika.
Merci Arsene.......
Wenger akiondoka (Colney) baada ya mazoezi yake ya mwisho leo ikimaanisha hatorudi tena hapo kama mwalimu wa Arsenal hii ni rasmi mwisho wa Wenger umefika.
Merci Arsene.......