McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Umenena swahiba kwa EPL ilivyokaa inabidi tuwe tu wavumilivu kwa misimu kadhaa ndoto ya kubeba ile ndoo iwe sio ya kuiamini.
[emoji23][emoji23] ushasikia Arteta yumo kweye list ya warithi wa AW hata sijui wanatumia vigezo gani mpaka yule swahiba nae awe kwenye list.Fungeni nafsi zenu kwa misimu mingine mitatu labda ndo mtaanza kupata matokeo mazuri.
Imeshakuwa ana ana ana do sasa. Wakishindwa hapo watakwenda kwa Moyes, Pardew, Big Sam, etc. Arsenal let's go