mmmhh, hapa vipi mboni naona majamvi na mikeka nje? Msiba nani kafwa?
Over to the Emirates, and Arsenal fans have been waiting for years for Arsene Wenger to finally splash the cash but this could be the summer when he finally gets the cheque book out (if anyone still actually uses those things) with the Daily Star and the Sunday Express both reporting that he is set to spend heavily.
The Gunners have been linked with a host of players in this morning's papers so take your pick from these names: From the Mirror: Joe Hart (Manchester City) and Robert Green (West Ham); from the Mail: Hugo Rodallega and Charles N'Zogbia (both Wigan); from the Star: Ander Herrera (Zaragoza), Moussa Sissoko (Toulouse), Angel Di Maria and David Luiz (both Benfica) and Marouane Chamakh (already in the bag from Bordeaux).
What's more Cesc Fabgregas is also going to stay according to Alex Song (News of the World) while Arsene Wenger is set for a new deal that will keep him at the club until 2014 (Sunday Mirror).
Hakuna mchezaji wa maana hata mmoja
Mmmhh, hapa vipi mboni naona majamvi na mikeka nje? Msiba nani kafwa?
...mbona maswali mengi bana, wewe anza kulia tu! Wiki ijayo tunahamishia kilio darajani!
Jamani jamani, hivi kweli kuna haja ya kuandamani ili Wenger(Mr Bean) aondoke Arsenal? ile aibu ya jana inatosha sana, haiwezekani timu inaongoza 2-0 mpaka dk ya 70 kisha mnapigwa 3-2, mimi sielewi kabisa.Inaniuma sana.Namshukuru Mungu Simba S.C imeshinda kidogo nimejiliwadha, poleni kwa wale waliopigwa kote kote.:target:
Mh! hii kali ya mwaka... sasa mkiandamana atajua kweli? mimi nadhani hizi nguvu za maandamano tungezielekeza kwa wale mawaziri wachovu wanamuangusha mheshimiwa rais
Typical Chelsick no history no dignity, ukiwauliza lini wameanza kushabikia timu ambayo haina historia watakwambia tangu Mwizi Bates alipokubaliana na mwizi mwingine kwa jina Abraham o vick na fweza zake za unga. kukumbatia umafia hii ni criminal offence.
Arsenal baada ya kupoteza mechi ya Spurs focus yote iliondoka kwenye hiki kinyang'anyiro nawashangaa wanaoshadidia baada ya Arsenal kufungwa dakika za mwisho - haikuwa priority sana (angalia kikosi chetu Eastmond nk.) kabla ya mechi ya Chelsick na Spurs ingawa tungependa kushinda. Focus ipo kwenye kukamilisha timu imara na kujaza mapengo yaliyojitokeza kwenye msimu huu.
Whether Manure/Chelsick wakichukua ubingwa mwaka huu ni ubingwa wa bure tu maana hakuna timu ambayo haikupoteza more than 7 games whoever wins. As for Chelseick bora waanze mapema kukamilisha malipo kwa marefa maana bila hivyo hawana kitu. Pamoja na kujiandaa vya kutosha na kukamia mechi ya Spurs one element was missing - fweza.
Mmmhh, hapa vipi mboni naona majamvi na mikeka nje? Msiba nani kafwa?
Lol!...kuna baadhi ya Arse fans ni damn myopic!..sijui wameanza kuangalia mpira lini?, sie tulishawambia kuwa mbio zenu za sakafuni twajua lini na wapi zitaishia, nyie ni kama ngoma za watoto zile, ikifika 6PM zishaisha, mnatuachia wakubwa twaendeleza libeneke....tehetehe!, as i predicted, mshaanza kumtoa kafara Le Professeur wenu, i said it before, nyie watu wa ajabu sana, mkishinda game mbili mfululilzo, u come here wth a lot of praise kwa AW, leo hii mnamuona ch*ko!..next time mpunguze kuongea sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!, vitendo zaidi,maneno kidogo. Loosers, do you copy?
View attachment 9568