Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

oh i feel sorry for you guys...mngeshinda leo at least mngekuwa na matumaini ya kutwaa epl
Asante...Binafsi niliyaondoa matumaini tangu Jumatano baada ya kuchapwa na Spurs........Niliwapa ubingwa Chelsea siku hiyo,na napenda wao ndo wawe mabingwa badala ya wale jamaa wa........................
 
Dah!!!!!!!!!!!!!...............So disappointed
Yaani best leo ningekuwa mtoto wa Hayati Sadam Hussein, hawa teens ningewachapa viboko. Wakubwa, tusubiri msimu ujao manake kwa huu, tunaondoka patupu kwa mara nyingine tena!
 
Gay-ish feelings! Vipi mkuu?
Acha kutukana wenzio bali funga na kuomba maana nyie nao ni mdebwedo tu japo nyie ni lesser devils than the real devils. Persoally baadaya bwawa kutokota nilipenda washika bunduki wawe mabingwa lakini nao ndio hivyo tena
 
Acha kutukana wenzio bali funga na kuomba maana nyie nao ni mdebwedo tu japo nyie ni lesser devils than the real devils. Persoally baadaya bwawa kutokota nilipenda washika bunduki wawe mabingwa lakini nao ndio hivyo tena

Hakuna matusi hapo Sol Campbell is a GAY!
 
_47665632_wenger_pa.jpg




_47665682_moreno_pa.jpg



_47665849_walcott_pa.jpg
 
Hodi hodi jamani, leo kama sikosei ni mara yangu ya kwanza kuingia humu ndani.... jamani hata mambwiga? Kwasakwasa uko wapi na mineno yako mulefu?
 
'Our game lacked cohesion and discipline'



On why Arsenal let a two-goal lead slip...
"I believe that we were not focussed and were not disciplined and we got caught. We were a bit unlucky as well but overall, in football you have to keep focussed for 90 minutes or you risk or a bit much, especially against a team who has nothing to lose and fights not to go down. They will not give up and in the end we were punished."
On if he ever thought the game was over...
"No, I never thought the game was over. I saw that we were having difficulties keeping the ball and creating opportunities. When you do not create chances in football you are in trouble. After we went 2-0 up our game lacked cohesion and discipline and I always felt that we could be punished."
On if he was expecting more from the two experienced centre-backs who were playing...
"I do not want to go into any individual judgement on today's performance. I feel they had quite a good performance and they were exposed a lot."
On what he said to his players after the game...
"I will keep that for myself."
On Arsenal's injury problems this season...
"I do not want to use the injuries as an excuse. When you are 2-0 up and you play for Arsenal Football Club I believe you would not use the injuries as an excuse when you lose the game."
On if his side need a new goalkeeper...
"Everybody has an opinion. I keep my opinion for myself and let everybody have different opinions. I believe you cannot say today we lost the game because of the goalkeeper."
On if his players thought they had the game won...
"I haven't spoken to them about that but at top-level competition you have to be focussed for 90 minutes or you can lose games."
On who he thinks will win the Premier League...
"I don't mind and I don't care."
On if a win would have put Arsenal back in the title race...
"Yes of course. If we had won the game today, yes."
On the other teams that could catch Arsenal...
"Spurs can catch us, Manchester City can catch us. We have to win at least one game."

Wenger ana jazba leo wakati yeye mwenyewe kashiriki katika matokeo mabovu .
 
Amani na utulivu hapa! Niko super ndugu yangu! Jana ilikuwa hali mbaya!

Jana ilikuwa noma, manake Bwabwa1 na Bolini walipata pa kuongelea, wakavamia jukwaa la Bluu. Leo siwaoni sijui vipi?!!
 
Jana ilikuwa noma, manake Bwabwa1 na Bolini walipata pa kuongelea, wakavamia jukwaa la Bluu. Leo siwaoni sijui vipi?!!
Hii ligi imekuwa ngumu mno ndo maana hata watu leo hawapo active kama jana walivamia sana kijiwe cha blues kana kwamba wao kazi wamemalizi,poleni wakuu suburini msimu ujao ingawa bado mapema kusema bigwa atakuwa nani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom