mkuu kumbe wewe huwa unachunguliaga kwa mbali lol.3 - 2 for Wigan hahahahaha
Yuko wapi Wacha1?
Hii mipira inakera sana 🙂
kweli kabisa mkuu naona kaichoka timu na anatafuta sababu ya kufuzwa na board inamshikilia tu.saa nyingine ni vizuri kuwa na wachezaji wa uingereza wanaojua historia ya timu kuliko hawa watoto wakifaransa .
juzi na spurs hata sijui kama wanajua maana ya derby nini.leo wanaenda kuzarau utasema wao ndio nani.
timu hiuzwe tu nao watoto wengine wauzwe watu walete wachezaji ambao wako serious.watoto gani hawakui.
...Ningekuwa nauwezo wa kusilimu, ningebadili timu ya kuishabikia, lakini ndio hivyo tena...! Tuombee tu aje Manager mwingine mwenye mtizamo tofauti na Arsene Wenger. Hii ni balaaaaaaa..............!!!
poleni sana, ni aibu kwa club kubwa kama Arsenal kufungwa na timu kama Wigan kwa kutoka nyuma 2 : 0. Huu ni uzembe mkubwa sana. Toka wachambuzi waseme Arsenal ananafasi ya kushindwa EPL eti kwakuwa amebakiza mechi rahisi ndo amekuwa akifungwa zote. Mechi ya leo mmefungwa kwa uzembe mkubwa, nahisi kuna matatizo ndani ya club.
kweli kabisa mkuu naona kaichoka timu na anatafuta sababu ya kufuzwa na board inamshikilia tu.saa nyingine ni vizuri kuwa na wachezaji wa uingereza wanaojua historia ya timu kuliko hawa watoto wakifaransa .
juzi na spurs hata sijui kama wanajua maana ya derby nini.leo wanaenda kuzarau utasema wao ndio nani.
timu hiuzwe tu nao watoto wengine wauzwe watu walete wachezaji ambao wako serious.watoto gani hawakui.
arsene wenger na watoto wake wote hawako serious.wapumbavu watupu na wazembe mno.nilisema wazembe siku hapa nikashambuliwa na leo mtu hawatetee.wajinga sana.
...ahaa ha ha, duuuh yaani na donge langu lote lakini niliposoma Comment yako machungu yote yameisha kwa kicheko. Pole pole kaka, It is just a game!
R.I.P Suleiman Omondi, yaani hata jamaa angefufuka siku ya tatu sijui angekuwa keshajinyonga mara ngapi. I will NEVER sacrifice my life kwa Arsene Wenger's 'Faith'...!!!!
Atambae zake bana....Ningekuwa na uwezo ningemfukuza leo hii hii....Sina imani naye tena....We fikiria mtu kama Robin Van Persie ni wa kumuingiza dakika ya 90????....pambaff kabisa,watu kama Diaby they are useless,wanakimbiakimbia tu na kupoteza mipira............aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh,inakera sana bana
Mkuu huyu Wacha1 huwa anajigamba sana. Jana Chelsea imefungwa basi alikuwa haishi kuandika kejeli kibao. Poleni mkuu, ndio ukubwa huomkuu kumbe wewe huwa unachunguliaga kwa mbali lol.
mkuu kusema kweli wameniudhi sana.usmanov au kroenke achukue timu haraka sana.
yule omondi alijua yeye fans wakati bendtner mwenzake alienda club,ndio maana nasema wachezaji hawa hawana mapenzi na timu kabisa wako pale kujifurahisha tu.
Siku mbaya sana kwangu leo....Yanga nao washachapwa viwli na Simba na Wisdom ndhlovu has been sent off....Yanga are down to ten men..........dah
subiri pundits kesho watakavyo paka,tumewapa ;la kuongea.
Atambae zake bana....Ningekuwa na uwezo ningemfukuza leo hii hii....Sina imani naye tena....We fikiria mtu kama Robin Van Persie ni wa kumuingiza dakika ya 90????....pambaff kabisa,watu kama Diaby they are useless,wanakimbiakimbia tu na kupoteza mipira............aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh,inakera sana bana
3 - 2 for Wigan hahahahaha
Yuko wapi Wacha1?
Hii mipira inakera sana 🙂