Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni comment kutoka kwa shabaki mshamba wa mpira....Your comment essentially undermines Arsenal to the lowest level possible.
Mshamba wa mpira ni wewe useless uliyekubali kuwa Fans wa useless club like Arsenal
Stupid stupid club in Everything
 
Tatizo la Arsenal huwa mnafurahia sana mkishinda vimechi vitatu. Mnasahau kuwa babu wenger ni jibu sugu linalohitaji kutumbuliwa. Andamaneni na nyie 26/04
 
Tetesi

Meneja wa Celtic Brendan Rodgers amahusishwa na kuchukua mahala pake Arsene Wenger huko Arsenal, lakini Rodgerd anasema anaishi kwa ndoto yake katika klabu hiyo ya Scottland. (ESPN)

Arsenal wako tayari kumuuza kiungo wa kati wa Wales Aaron Ramsey, 27, wakati klabu hiyo inataka kuzuia kumpoteza bila kunufaika msimu wa joto mwaka 2019.

Arsenal na Chelsea watang'ang'ana kupata huduma zake Carlo Ancelotti kama meneja mwisho wa msimu. (Sunday Express)
 
Kama vilabu huamua kuvunja mikataba ya makocha wao ili kunusulu credibility ya club zao,sijui kwanini hili halitokei Emirates licha ya machungu haya yanayotukuta mashabiki zao kipindi hiki.Kocha anaumri wa zaidi ya miaka 65 na ameshaonesha kushindwa lakini wamiliki wa timu hata hawana habari ya kumbadilisha ndio kwanza kocha anaitisha press na kusema hana mpango wa kuondoka mpaka amalize mkataba wake,yaani hata aibu hana kuwa anatuudhi mashabiki wake.U mri alionao Mzee Wenger angekuwa ni mtumishi wa Serikali angeshastaafu miaka 6 iliyopita sisi Arsenal bado tunaye tu utadhani makocha wameisha
 
rubaman msiwe mnakimbia jukwaa lenu mkuu

Ni upepo tuu huo, utapita na mtarudi kama zamani

In Wenger We Trust
Hasn't Wenger fired yet? When will be fired? Wenger out, Wenger out, Wenger out. Nilishasema nitarudi kikazi kazi akifukuzwa. Nitaendelea kuchungulia hadi hapo atakapoondoka.
 
OG anaenda chelsea David luiz anaingia arsenal,Abu keshapima tayari,Mavnoplas anaingia naye kuimarisha ulinzi.
Yaani sasa ile arsenal iliyomaliza ligi bila kupoteza rekodi inayotamba duniani na haijavunjwa huenda ikatokea.

Bellerin beki ya kulia ,kushoto monreal,mustafa mvunja miguu anafuata,Luiz anatulia kati.Daaah yaani eti laurent sub,metesacker,holding .
Kati hapa anakaa granit xchaka zulu na wilshere hapo ramsey anasugua bench,mipira yote ya nyuma kulia mbele atapokea Ozil kwa bellerin au wilshere anamtengenezea assist Abu na lacazate sasa mhitaryan hatazeeka mapema maana mashetani yalitaka kumuua kwa kumkimbiza ovyo tulia hapa tunahesabu gonga tu hadi ndani ya sita zinapigwa gonga unashitukia gooooooooooooal beki zimegongana na kujifunga zenyewe.

Jamani tuombe uzima toten watakaa,mashetani nao watakaa tuu hakuna beki wa kumkaba Abu na laccazate pale.Man city yeye asubiri maumivu tuna hasira na ushenzi wa refa aliowabeba.
Vikosi viwili imara sasa vimepatikana.
Sanchez man itakuwa kama yanga na okwi walivyopeana talaka.
Karibuni arsenal kwa kandanda la adabu pasi za kasi na uhakika.
Mungu ibariki arsenal,tubariki na mashabiki wake popote tulipo.
Mnisamehe kwa kufukua kaburi hili
 
Back
Top Bottom