Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Duh! poleni
Hahahaha watu mnautani wa ngumi au anahis tutakuwa moto kwa hizi ngoma nne Ozil, Micky, Auba na Lacazett huku kati yupo Jack na Xhaka sipati picha ngoja tuone inakuaje
Pole sana mkuu, yaani kila ninapoona Arsenal kaharibu huwa nakukumbukaFT
HBA 2-1 Arsenal
Baada ya miaka 35 HBA wanatupiga tena hakika huu ni msimu wetu wa ovyo kabisa.
Hii inanikumbusha Manchester United ya MoyesFT
HBA 2-1 Arsenal
Baada ya miaka 35 HBA wanatupiga tena hakika huu ni msimu wetu wa ovyo kabisa.
Pole sana mkuu, yaani kila ninapoona Arsenal kaharibu huwa nakukumbuka
Pa1 sana chief huu upepo humtokea kila mtu kwa wakati wakeAsante sana swahiba,lazima nikubali kwa sasa napitia kipindi kigumu.
Once A Gooner.......!
Pole sana.FT
HBA 2-1 Arsenal
Baada ya miaka 35 HBA wanatupiga tena hakika huu ni msimu wetu wa ovyo kabisa.
Mkuu tuhamie CoM aka Etihad Stadium.Shukrani ndugu yangu....![]()
Hongereni lakini, kutoka 3-0 mpaka 2-1 ni hatua moja mbele.
utani wa ngumi huuHawajawahi kufunga timu yoyote ya Top 6! Nyinyi ndio wa kwanza.FT
HBA 2-1 Arsenal
Baada ya miaka 35 HBA wanatupiga tena hakika huu ni msimu wetu wa ovyo kabisa.
Mkuu tuhamie CoM aka Etihad Stadium.

duh natamani kua mnafiki ila acha nikae kimya ila nina upande wangu leo pale Etihad naamini Mungu atasikia kilio changu.Ni comment kutoka kwa shabaki mshamba wa mpira....Your comment essentially undermines Arsenal to the lowest level possible.Tumesha wasema mpaka tumechoka Arsenal sio team ni Kikundi kile cha wahuni wachache wanaotafuta maisha kupitia mpira Hamsikii wala hamuelewi.
Shabiki wa mpira anayeweza kuhama timu aipendayo simply inafungwa...bado anajifunza mpira...once a Goooner......Mkuu tuhamie CoM aka Etihad Stadium.
Jifunze kuelewa sentensi rahisi. Maana yangu tuhamie kutazama man city vs chelsea.Shabiki wa mpira anayeweza kuhama timu aipendayo simply inafungwa...bado anajifunza mpira...once a Goooner......
Ni dhahiri unataka Chelsea achezee kichapo!duh natamani kua mnafiki ila acha nikae kimya ila nina upande wangu leo pale Etihad naamini Mungu atasikia kilio changu.
Ni dhahiri unataka Chelsea achezee kichapo!


