McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Chifu, kweli nilipotea. AW anahitaji kujitathmini. Hastahili kufukuzwa.
Hakuna mwenye ubavu wa kumfukuza AW ila kama unavyosema inabidi babu ajitathimini tu yeye mwenyewe.
Chifu, kweli nilipotea. AW anahitaji kujitathmini. Hastahili kufukuzwa.
Nini kimmewatokea Arsenal? Kuchukua ubingwa tunajua hawawezi lakini kufungwafungwa kirahisi hivi sio Arsenal hii.Hakuna mwenye ubavu wa kumfukuza AW ila kama unavyosema inabidi babu ajitathimini tu yeye mwenyewe.
️Nini kimmewatokea Arsenal? Kuchukua ubingwa tunajua hawawezi lakini kufungwafungwa kirahisi hivi sio Arsenal hii.
Ngapi ngapi? Tanesco washafanya yao hapa nilipoIn Arsene they trust
Dk ya 86..... 2-1Ngapi ngapi? Tanesco washafanya yao hapa nilipo