Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

71bd905fa126f8e46880771dd662fc56.jpg
 
OG anaenda chelsea David luiz anaingia arsenal,Abu keshapima tayari,Mavnoplas anaingia naye kuimarisha ulinzi.
Yaani sasa ile arsenal iliyomaliza ligi bila kupoteza rekodi inayotamba duniani na haijavunjwa huenda ikatokea.

Bellerin beki ya kulia ,kushoto monreal,mustafa mvunja miguu anafuata,Luiz anatulia kati.Daaah yaani eti laurent sub,metesacker,holding .
Kati hapa anakaa granit xchaka zulu na wilshere hapo ramsey anasugua bench,mipira yote ya nyuma kulia mbele atapokea Ozil kwa bellerin au wilshere anamtengenezea assist Abu na lacazate sasa mhitaryan hatazeeka mapema maana mashetani yalitaka kumuua kwa kumkimbiza ovyo tulia hapa tunahesabu gonga tu hadi ndani ya sita zinapigwa gonga unashitukia gooooooooooooal beki zimegongana na kujifunga zenyewe.

Jamani tuombe uzima toten watakaa,mashetani nao watakaa tuu hakuna beki wa kumkaba Abu na laccazate pale.Man city yeye asubiri maumivu tuna hasira na ushenzi wa refa aliowabeba.
Vikosi viwili imara sasa vimepatikana.
Sanchez man itakuwa kama yanga na okwi walivyopeana talaka.
Karibuni arsenal kwa kandanda la adabu pasi za kasi na uhakika.
Mungu ibariki arsenal,tubariki na mashabiki wake popote tulipo.
 
Ha haa povu, watu wananunua wachezaji bora duniani wewe unanunua mchezaji bora Dorrmund. Kuna tofauti kubwa hapa.

Swahiba sio lazima kuongea maana naona unajitia aibu tu kila unavyo comment inaonyesha kabisa kwenye football umevamia sio size yako.
 
Bats>BVB
Auba>Arsenal
OG12>Chelsea
Huo mzunguko lazima ukamilike ndio Auba tumtie mikononi maana Dortmund bila replacement ya Auba wanakaza na OG12 hataki kuondoka London kisa familia anaona bora aende Chelsea ambao wanashusha tu bei yake na wakimpata OG watamtoa Bats kwenda Dortmund kama deal ya OG ikibuma kwenda Chelsea itakua utata unless OG akubali kwenda Dortmund kwa mkopo.,preshaaa preshaaa preshaaaaa.....
 
Bats>BVB
Auba>Arsenal
OG12>Chelsea
Huo mzunguko lazima ukamilike ndio Auba tumtie mikononi maana Dortmund bila replacement ya Auba wanakaza na OG12 hataki kuondoka London kisa familia anaona bora aende Chelsea ambao wanashusha tu bei yake na wakimpata OG watamtoa Bats kwenda Dortmund kama deal ya OG ikibuma kwenda Chelsea itakua utata unless OG akubali kwenda Dortmund kwa mkopo.,preshaaa preshaaa preshaaaaa.....
OG anaenda chelsea kwa 15mil alafu David Luiz anatua arsenal
 
Our team once more:
Cech

Bellerin, Mustafi, Koscielny, Monreal

Elneny, Xhaka, Ramsey, Iwobi

Ozil

Lacazette

#SCFCvAFC

DUz2PK3XcAAEZ5y.jpg
DUz2PK3XcAAEZ5y.jpg
 
bd7662f92a8061fdd4bec0cd468323ed.jpg

Bila JW10 naona kama hakuna sherehe siku hizi dogo anaumwa,hawa Swansea wako mkiani kila game kwao ni final inabidi tuende kwa step kilichomkuta Liva sio miujiza mjue.
 
Back
Top Bottom