Papupi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,029
- 3,245
Mnisamehe kwa kufukua kaburi hili
Hahaha... na hili kaburi ni zito kweli kweli, sijui la Mkwawa or Kinjekitile Ngware


Mnisamehe kwa kufukua kaburi hili


Nimecheka vibaya sanaMnisamehe kwa kufukua kaburi hili
Ule ni mgomo wa wachezaji kumuondoa kocha .Hiyo hutokea kila timu.Ilitokea leicester kocha akaondoka,ilitokea man moyes akaondoka,ilitokea chelsea na hata sasa huenda conte akaondoka.Mnisamehe kwa kufukua kaburi hili
Unachoongea ni sawa but yet hawezi kupata matokeo mazuri kwani kuna under ground mgomo na huo ndo unamuondoa.Kama vilabu huamua kuvunja mikataba ya makocha wao ili kunusulu credibility ya club zao,sijui kwanini hili halitokei Emirates licha ya machungu haya yanayotukuta mashabiki zao kipindi hiki.Kocha anaumri wa zaidi ya miaka 65 na ameshaonesha kushindwa lakini wamiliki wa timu hata hawana habari ya kumbadilisha ndio kwanza kocha anaitisha press na kusema hana mpango wa kuondoka mpaka amalize mkataba wake,yaani hata aibu hana kuwa anatuudhi mashabiki wake.U mri alionao Mzee Wenger angekuwa ni mtumishi wa Serikali angeshastaafu miaka 6 iliyopita sisi Arsenal bado tunaye tu utadhani makocha wameisha
siyo kweli.Mwenzenu kaona isiwe tabu ngoja atangulie
Una vimele vya kishoAcha kundandia Treni kwa mbele pita kushoto kabisa
Si kweli![]()
Dogo kaona isiwe shida ameamua kuhama.. wewe kubwa zima unang’ang’ania nini, Arsenal sio baba wala mama yenu..![]()
Tatizo lenu mkishinda vimechi viwili vitatu au mkumfunga man city mnasahau kabisa kama wenga hafai tena mnamsifiaKama vilabu huamua kuvunja mikataba ya makocha wao ili kunusulu credibility ya club zao,sijui kwanini hili halitokei Emirates licha ya machungu haya yanayotukuta mashabiki zao kipindi hiki.Kocha anaumri wa zaidi ya miaka 65 na ameshaonesha kushindwa lakini wamiliki wa timu hata hawana habari ya kumbadilisha ndio kwanza kocha anaitisha press na kusema hana mpango wa kuondoka mpaka amalize mkataba wake,yaani hata aibu hana kuwa anatuudhi mashabiki wake.U mri alionao Mzee Wenger angekuwa ni mtumishi wa Serikali angeshastaafu miaka 6 iliyopita sisi Arsenal bado tunaye tu utadhani makocha wameisha
La kiyeyeu yule ambaye umeme ulishindwa kupita juu yake kule IringaHahaha... na hili kaburi ni zito kweli kweli, sijui la Mkwawa or Kinjekitile Ngware![]()
