Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi mmeona wanaume tunavyo cheza.? Hata kama una kikosi kibovu isiwe sababu mtu kukunyanyasa. Tumia ulichonacho vizuri kitakufaidisha. Siyo mnakaa kaa kizembe.

Sema one day na nyie mtakua kama sisi. Hiyo stage na sisi tulipitia. Ila muwe mnakuja kuangalia kaka zenu tunafanya nini. Msikae kizembezembe tu.

Mje weekend muone tutakacho mfanya Man U kwake.
Kwani una kikosi kibovu?
 
Who are you people?

Eti Ila muwe mnakuja kuangalia kaka zenu tunafanya Nini" !!!

Kati ya Chelsea na Arsenal nani Ni Kaka??

• Arsenal Kaanzishwa Mwanzo Kuliko nyinyi...
• Arsenal Ana mataji Mengi Kuliko nyinyi...
• Arsenal Ameifunga Chelsea Mara nyingi Kuliko Mara chache ambazo Chelsea ameifunga Arsenal...
• Arsenal ana malegends Kuliko nyinyi munaoanza kutengeneza sasa kina Lampard na John Terry...
• Arsenal ana historia Kuliko nyinyi mulioibuka 2005 from nowhere...

Sasa huo Ujasiri Wa Kujiita Kaka Kwa Arsenal umeupata wapi??

Punguzeni Kujishauwa Kisa tu umetoka Draw na Barcelona.
 
Kwa hiyo mi nifanye nini sasa.? Waache wenye timu yao waongee. Tunajuana sisi.
 
Hivi mmeona wanaume tunavyo cheza.? Hata kama una kikosi kibovu isiwe sababu mtu kukunyanyasa. Tumia ulichonacho vizuri kitakufaidisha. Siyo mnakaa kaa kizembe.

Sema one day na nyie mtakua kama sisi. Hiyo stage na sisi tulipitia. Ila muwe mnakuja kuangalia kaka zenu tunafanya nini. Msikae kizembezembe tu.

Mje weekend muone tutakacho mfanya Man U kwake.
Umefurah mwenyewe, mpaka unajiita mwanaume, haya tutakuja kukuangalia mwanaume
 
Our starting XI
0e5d19d68101ae41397765f0d66505fd.jpg
 
FT
Arsenal 1-2 Ostersunds
Alhamdullilah we booked our place kwenye round ya 16 na draw ya kesho itatujuza tutacheza na nani.
Frankly timu imecheza ovyo sana sometimes najiuliza Arsenal tuko serious kwenye nini maana EPL ndio tushajifia hata uku nako tunaangalia mpira roho juu,simply nimekereka pia kufungwa Emirates hawa Ostersunds wanakua timu ya pili baada ya Manure kutuadhibu nyumbani.
 
Mkuu Kufungwa Uwanjani Kwenu na Timu Kama Ostersunds ichukue Kama Ni Changamoto Kwa Next Round.
 
Ovyo kabisa,we were nowhere near good enough kama ambavyo wamesema wale Ostersunds ni underdogs ila wametuadhibu Emirates jana.
Makosa ya wazi ya vile vibeki vyetu uchwara vya kiingereza (Chambers & Holding) yanaendelea kutuonyesha kua backline yetu inahitaji overhaul.
 
Na Katika Miaka Ya Hivi Karibuni ilikuwa Katika Jambo Rahisi ilikuwa Ni Kuimarisha Safu Ya Ulinzi Kwani Mabeki hawakuwa Wachezaji Wenye thamani!

Lakini Soko la Madifenders Ni More Expensive Kuliko Hata Kuimarisha Midfielders!
Hebu Angalia Man City imemcost more than £300m+ Kwa ajili ya Kujenga Defence ambayo bado haijakaa sawa!
Mtu Wa Kawaida (Average defender) Kama Walker na Stones Anacheza na thamani ya £60m+ !!! Hill Ni problem la Market ya Defenders.

Sasa Mukikusudia Kuimarisha Defence ya Uhakika itawabidi muachane na Mids pamoja attack ili Kujenga Defence Coz muwe na around £300m+ za Defenders tu.
 
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa kikosi chake kilijivuta sana na kunusurika dhidi ya klabu ya Sweden Ostersunds FK, hivyobasi kufuzu katika raundi ya timu 16 bora katika kombe la ligi ya Yuropa. Arsenal ilishinda awamu ya kwanza 3-0, lakini karibia ishangazwe baada ya wageni hao kufunga mabao mawili ndani ya sekunde 70.
Kikosi cha Graham Potter ambacho kimepanda kutoka daraja la nne tangu 2010 kilikuwa kifua mbele katika kipindi cha kwanza kabla ya kuongeza bao la pili kufuatia bao la kujifunga mwenyewe la Calum Chambers kutokana na shambulio la Hosam Aiesh na bao la Ken Sema.
Lakini Gunners ambao walianzisha kikosi thabiti siku tatu kabla ya kushirki katika fainali ya kombe la Carabao dhidi Manchester City iliimarika baada ya kipindi cha kwanza huku Sead Kolasinac akifunga krosi nzuri iliopigwa na Bellerin katika uwanja wa Emirates.

''Hatukujituma katika kipindi cha kwanza'' , alisema Wenger ambaye kikosi chake kilizomewa baada ya kipindi cha kwanza na baada ya mechi kukamilika.
''Nadhani katika kipindi cha pili tuliimarika na tungefunga mabao zaidi. Katika kipindi cha kwanza tulikuwa katika matatizo na hatarini kwa sababu tulijivuta sana , hatukuwa na malengo na tulijipata mashakani kila mara tulipopoteza mpira''.
''Hatukuwa na malengo tulipokuwa na mpira na ndio maana tulijipata katika matatizo.Tulijibu vizuri na ndio maana tukafuzu''.
Arsenal ambayo haijashinda kombe la Uefa ama lile la Yuropa watawajua wapinzani wao siku ya Ijumaa.
Ostersund ni klabu ya pili kushinda mechi ndani ya uwanja wa Emirates katika mechi 28 ambazo The Gunners wamecheza kutoka Machi 2017.
 
Back
Top Bottom