McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
HT
Arsenal 4-0 Everton
Arsenal 4-0 Everton
Hii forward line ya Leo ikicheza hivi hakuna wakutuzuia,Ukuta umekuwa imara sana chini ya Korsenly leo.
COYG
RAHA NAONA RAHA! MOYO WANGU!………YEYE2 assist from mikhitaryan, yaani leo vinywaji vinatelemka
Tunakwenda kufunga hata huyo pia,mwendo wa dozi tuHata Guardiola mtamfunga?
Kumbe huwa hafungiki?. SikujuaHata Guardiola mtamfunga?
Raha afu bado mpo nafasi ile ile ya sita.Auba anajua kufunga aseeeeh ....yani magoli kama yale nilizoea kuyaona yanapigwa na mbilikimo messi tu ila sasa yanapigwa nyumbani emirates rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa



Haikuhusu tafadhaliRaha afu bado mpo nafasi ile ile ya sita.
![]()