Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sioni kama kuna uwezekano hii deal imekufa kifo cha kawaida,leo tena AW amesema wako interested kumleta Auba ila akasema "We're far from being close" na amekubali kua Dortmund wanajua kua Arsenal wana pressure ya kumsajili Auba ukichagizwa na kelele za mashabiki ndio maana wanakomaa ili wavune sarafu nyingi sidhani kama Arsenal watatoa £ 70+
Jonny Evans naona tumepeleka £20 m + Debuchy hii deal inaweza kufanyika,duh i HATE transfer window aiseeee maana kila time unachungulia nini kinaendelea
Kwakweli pressure hatari na hizi tetesi
 
Tetesi

Dortmund pia inatarajiwa kusitisha majadiliano ya kumsajili mshambuliaji wa Arsenal Olivier Giroud .Mchezaji huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 31 anadaiwa kutaka kushirikishwa katika kila mechi. (Mail)
 
Tetesi

Arsenal wanajiandaa kumsajili kiungo wa kati wa Corinthians na mchezaji wa timu ya Brazil isiozidi umri wa miaka 20 Maycon, 20. (Sun)
 
Tetesi
Mazungumzo yamegonga mwamba kati ya Arsenal na Borussia Dortmund kuhusu makubaliano ya mshambuliaji wa klabu hiyo na Garbon Pierre -Emrick Aubameyang kwenda Arsenal.
 
IMG_1517040105.596773.jpg


Habari za asubuhi Goonerz..
 
Ni kweli Sanchez ni bomu; mourinho katoa pesa mingi kwa huyo kiazi plus kubadilisha na mkht.. kala hasara pale.
Kwa hiyo unamaanisha Sanchez ni mzigo? Huu ushabiki huu, wakati mwingine ni bora kutoandika.
 
we na arsenal MNA tofauti gani!?..kombe ambalo utachukua labda fa..mbali na hapo ni bure tu
Aube anakujaje timu ambayo hata nafasi ya nne imeshindikana, yaani umpeleke akacheze uefa Alhamisi!!
 
Aliondoka Henry maisha yakasonga mbele, aliondoka vanpasie maisha kama kawa, fabregas sasa itakuwa huyo.
Chuo cha vipaji na arsenal haiishiwi daima.
Walivyoondoka hao maisha hayakusonga mbele, mna kakikombe kamoja tu toka waondoke tena na FA. Shida sana.
 
Back
Top Bottom