Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal fans mkipozwa kidogo mnatulia yani kwa hali hii Wenger hawezi ondoka Asernal believe Me.
 
Arsenal fans mkipozwa kidogo mnatulia yani kwa hali hii Wenger hawezi ondoka Asernal believe Me.

mbona kama umemaindi ivi..?unataka tukipozwa tusifurahi mbona na wewe unapozwa kule kwako na unakenua meno,AW ataondoka tu ni suala la muda ila hawezi kubaki milele.
 
Line-up
f6ed0d5f8d02337fc387e7ef53a67a8a.jpg
 
Lacazette....
Arsenal 4-0 Palace
Dakika ya 21
Easy....Easy....eeeaaasy....!!
 
Back
Top Bottom