Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

WENGER: MIKI-SANCHEZ SWAP CLOSE

Arsene Wenger has confirmed an exchange deal for Alexis Sanchez to join Manchester United and Henrikh Mkhitaryanto head to Arsenal is "close", and could happen before Saturday.

"It could happen, it could not happen. It’s at that stage.

"If it doesn’t happen he [Sanchez] will play on Saturday."

Screenshot_2018-01-18-15-05-33.png

Giroud may move to Dortmund.
 
422f6fbb502360e4a78f539a176cbbe8.jpg

Duh....!
Naona Deal inaweza kua Dirisha kama kawaida yetu,nasikia jamaa kamaindi baada ya comment ya AW kuhusu Auba kuja Arsenal kuna tetesi kua wakala wa Auba ambae ni baba ake kasogea London kuweka mchongo sawa na Arsenal inabidi wavunje rekodi yao ya usajili (inaaminika £70 m na OG anaweza kwenda kwa mkopo pia pale Dortmund)
Binafsi nachukia sana tetesi hasa zinazotuhusu kwa kua naifahamu timu yangu hua naamini nikiona DEAL DONE tu tofauti na hapo unaweza ufe kwa shinikizo la damu
 
Duh ngoja tusubiri..
Mchezaji mwenyewe nasikia kesho kaachwa kwenye squad ya bundersliga...
Sijui ni haya mambo ya transfer,au labda aligoma wakamsuspend ila yote tutayajua vzr tu muda si mrefu...
 
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger ''alitukosea heshima'' kwa kuzungumza hadharani kuhusu mchezaji Pierre-Emerick Aubameyang, amesema mkurugenzi wa michezo katika klabu ya Borussia Dortmund Michael Zorc.
Arsenal ina hamu ya kumsajili mshambuliaji huyo wa Gabon kwa dau la £60m.

Siku ya Alhamisi , Wenger alisema kuwa Aubameyang atafaa sana Arsenal , matamshi ambayo hayakuifurahisha klabu ya Dortmund.

''Tunahisi kwamba ni kukosa heshima kwa Wenger kuzungumzia kuhusu wachezaji wa klabu nyengine'', alisema Zorc.
''Hatujawasiliana na Arsenal''.
''Kwa sasa Arsene Wenger ana maswala mengi yanayompa changamoto ikiwemo mchezo wa wachezaji wake''.
Aubameyang ameadhibiwa mara mbili kwa utovu wa nidhamu msimu huu.

Alikosa mechi ya Jumapili ya sare ya 0-0 dhidi ya Wolfsburg baada ya kukosa kuhudhuria mkutano wa timu.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 ni mfungaji wa mabao mengi katika timu hiyo msimu huu baada ya kufunga mabao 13 katika mechi 15.
Dortmund ni ya nne katika ligi ya Bundesliga, wakiwa na alama 15 nyuma ya viongozi wa ligi Bayern Munich
 
Duh ngoja tusubiri..
Mchezaji mwenyewe nasikia kesho kaachwa kwenye squad ya bundersliga...
Sijui ni haya mambo ya transfer,au labda aligoma wakamsuspend ila yote tutayajua vzr tu muda si mrefu...

Muda ni hakimu bora kabisa acha tuvute subira,ila mpaka nione kashika jezi yetu mbele ya waandishi wa habari hapo ndio nitaamini tofauti na hapo ni kupeana jaka moyo tu.
 
Arsenal imepiga hatua kubwa katika kumsajili mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang baada ya mchezaji huyo ,28, kutohusishwa katika kikosi cha timu hiyo dhidi ya Hertha Berlin. (Bild - in German)
 
Arsenal na AW wana wage structure ambayo inaitwa "traditional" na mara nyingi hawataki kuibadili ili ku-balance timu maana bado kuna kundi kubwa la wachezaji wana-earn mshahara wa kawaida ndio maana wanaweza kukubali ada ya uhamisho ila wakashindwa kwenye wages ivyo sidhani kama Mikhi atavuta huo mpunga na ikitokea ivyo basi Ozil kwenye mkataba wake mpya(wanadai ana-extend very soon) atakua na mshahara zaidi ya huo wa Mikhi na pia inawezekana pia tumeanza ku-compete na giants katika uchumi.
 
ndo hivyo....,na kama mikhi atakula hiyo kweli,bac ozil hawezi kula chini ya pound 300,000 kwa wiki..... Asenali najua ina hela....
Screenshot_2018-01-17-19-47-49.png
Screenshot_2018-01-17-19-48-08.png

Ina pesa kuliko timu nyingine huko zinazojifanya sema tu tulikuwa na kasumba ya kutokutumia pesa za maana kwenye usajili na kulipa mishahara ya kawaida na hilo nadhani ndilo lililotucost..
Kuweka kando kufanya vzr,timu inayolipa good wages to its players inawavutia world class players...na wakija lazima timu yako ifanye poa tu...
Huku kutokuwapa mishahara ya maana mastaa wetu kumechangia kutushusha hadhi hadi kuanza kusemwa na timu nyingine ambapo kiufupi tumeziacha mbali..
Hii departure ya Alexis imetusaidia kupiga hatua kwa kiasi fulani kwakweli....
 
Arsenal inaelekea kuafikiana na mchezaji wa Ujerumani Mesut Ozil, 29, na kiungo wa kati Jack Wilshere, 26 kusaini kandarasi mpya. (Sun)
 
Arsenal imepiga hatua kubwa katika kumsajili mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang baada ya mchezaji huyo ,28, kutohusishwa katika kikosi cha timu hiyo dhidi ya Hertha Berlin. (Bild - in German)
 
Alexis Sanchez amelazimika kufanya mazeozi na timu ya vijana huku mpango wa mchezaji huyo kuelekea Old Trafford ukiendelea kuchelewa. (Times)
 
Back
Top Bottom