Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

leo tunauaaaaa!!!!!
Naona ndugu zako walijiandaa kuja ila kwa matokeo yalivyo wameishia njiani.

Hii ndiyo Arsenal tuliyoizoea, tunayoijuwa, sharp, offensive, bright...
Hata wakisema vipofu tumeona mwezi shauri yao, hatujali...
Naamini kuna waandishi wa michezo kibao wamechukia maana walishaanda articles zao "life after Sanchez" wanajiandaa ku-delete walichoandika.
 
tatizo letu lilikuwa majeruhi...babu akaanza kuchezesha vitoto pale nyuma...leo Monreal,koschienly ndo first eleven...tunakikosi bora...
 
Naona ndugu zako walijiandaa kuja ila kwa matokeo yalivyo wameishia njiani.

hawawezi hata kunusa humu leo...ngoja wakomazwe na wagumu Burnley..

Naamini kuna waandishi wa michezo kibao wamechukia maana walishaanda articles zao "life after Sanchez" wanajiandaa ku-delete walichoandika.
hhhhhhhh...,halafu kweli..,hata huku bongo kina Edo kumwembe walishaandaa makala kuponda....
itabidi waandike upya,watafute habari nyingine ama waisifie Arsenal coz hakuna jinsi
 
Naona ndugu zako walijiandaa kuja ila kwa matokeo yalivyo wameishia njiani. Naamini kuna waandishi wa michezo kibao wamechukia maana walishaanda articles zao "life after Sanchez" wanajiandaa ku-delete walichoandika.
Kabisa, nilikuwa nasikia predictions na odds kwao, wengi walitabiri tunafungwa tena leo...
Naona penseli walizochonga kwa ajili ya kutuponda leo wazichomeke kule kwenye giza...
 
USHINDE 100,UFUNGWEE 100,UDROO... SIJUI UFANYE NINI...NAFASI YAKO YA 6 INAKERA HII
 
Honestly we cant afford losing Ozil duh uyu muarabu inabidi board ipambane hata kwa mtutu wa bunduki aongeze mkataba.
Who want Sanchez....?AW baada ya game kasaini hayo makaratasi ya Sanchez aende tuondoe toxic influence kwenye dressing room.
hhhhhhhh eti hata kwa mitutu...no losing ozil hata mm naunga mkono hiyo kauli...ni kama nembo yetu kwa sasa..

Halafukumbe bado hajaondoka huyu kiumbe!!!!
Aende huko ss hatumuhitaji kwa sasa..
naona alikuwa akicheki mechi huku akiuma meno....alitaka tufungwe ili eti pengo lake lionekane....nyambaf sana huyu mtu......hhhhhh
 
Back
Top Bottom