Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

wenga.jpg
 
Wenger athibitisha kuondoka kwa Coquelin

Francis Coquelin yu mbioni kukamilisha uhamisho wake kwenda Valencia, meneja wa Arsenal, Arsene Wenger ametangaza baada ya mechi ya kwanza Kombe la Carabao nusu fainali Jumanne.
 
Arsenal yakomaa na Malcom Alexis akikaribia kuondoka

Arsenal wamefanya mazungumzo na mshambuliaji wa Bordeaux Malcom wakati Alexis Sanchez akiwa anakaribia kuondoka Emirates Stadium, kwa mujibu wa Mirror.
Alexis anatarajiwa kuondoka Arsenal kabla ya dirisha la uhamisho Januari kufungwa, Manchester City wapo katika nafasi nzuri zaidi kumsajili.
 
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa uamuzi wake wa kumchezesha Alexis Sanchez kama mchezaji wa ziada dhidi ya Chelsea siku ya Jumatano hauna uhusiano na uvumi kuhusu uhamisho wake na kusisitiza hamu yake ya mshambuliaji huyo kusalia katika kabu hiyo.
Mshambuliaji huyo wa Chile ambaye kandarasi yake inakamilika mwezi Juni aliingia katika kipindi cha pili katika nusu fainali ya kombe la Carabao mkondo wa kwanza mbapo timu hizo zilitokare sare tasa.
Sanchez anahusishwa na uhamisho wa Manchester City mwezi huu.
''Nataka asalie kwa kipindi kirefu'',alisema Wenger. ''Sina tatizo iwapo atasaini kandarasi mpya nasi iwe sasa au mwezi Juni''.
Lazima ukubali wakati unapocheza mechi nyingi na Sanchez hucheza kila mechi, na kwamba wanapopimzika katikati ya msimu huwasaidia kidogo.

Licha ya utata unaokumba hatma ya Sanchez, Wenger haamini kwamba Sanchez anataka kuondoka.
''Watu hawamjui Sanchez- huyu ni mchezaji ambaye lengo lake kuu ni kucheza kandanda'', aliongezea Wenger.
''Unamuona alivyokuja leo, alijiandaa kama mchezaji anayetaka kucheza''.
 
Tetesi

Everton inajiandaa kuwasilisha ombi la £20m ili kumsajili winga na mshambulijia wa Arsenal Theo Walcott. (Telegraph)
 
Tetesi

Raia wa Itali Carlo Ancelotti ndiye kocha anayepigiwa upato kumrithi mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger mwishoni mwa msimu huu .

Kocha huyo wa zamani aliyewahi kuifunza Chelsea, Real madrid, Bayern Munich na Paris St Germain amekubali mkataba wa miaka minne wenye thamani ya £35.5m. (Corriere dello Sport - in
 
Imetosha sasa kama vipi uyo Sanchez aende popote anapotaka ashakua kero aaaaggggrrrrrhhhh
 
DONDOO MICHEZONI :
WENGER : SINA MPANGO WA KUONDOKA ARSENAL

Meneja wa timu ya Arsenal, Arsene Wenger amewataka wapenzi wa Arsenal kupuuza uvumi wa kuwa ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu.

Akiongea na gazeti la Daily Mirror, Arsene amesema "nitaendelea kufanya maamuzi muhimu ya klabu hii. Ninaipenda klabu hii. Nitaendelea kuwepo hapa kama Meneja angalau hadi mwaka 2019."
FB_IMG_1515830575155.jpg
 
DONDOO MICHEZONI :
WENGER : SINA MPANGO WA KUONDOKA ARSENAL

Meneja wa timu ya Arsenal, Arsene Wenger amewataka wapenzi wa Arsenal kupuuza uvumi wa kuwa ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu.

Akiongea na gazeti la Daily Mirror, Arsene amesema "nitaendelea kufanya maamuzi muhimu ya klabu hii. Ninaipenda klabu hii. Nitaendelea kuwepo hapa kama Meneja angalau hadi mwaka 2019."View attachment 674481
Yule ndo kikwazo cha kwanza arsenal ....kisha bodi kwasabu yy ndo anawapa moyo kuwa tutasurvive tu na kikosi hkihki ...na kwakuwa bodi wao wanaanglia faida tu hawaumii .....binafsi hata mtu atokee leo anipe ofa nikacheki game ya arsenal Emirates au anywhere ....siwezi kubali though I'm gunners ....!!! Hao akina Sanchez na Ozil is better waondoke ...!! Ili wapate fundisho wabahiri sana wale jamaa!! ...tena waenda hkohko man united na man city ....ili akili ziwakae vizur .....kikwazo cha mwisho ni mashabiki wa arsenal wale wa London ....kwanini wasigomee mechi tano kwenda uwanjani kama hawajabadrika !!...af wapate na hasara kidogo
 
Tano wapi 10 hivi hadi tukae nafasi ya 10.....,hapo lazima akili iwakae vyema....
 
JIPATIE DAU LA BURE KUTOKA WWW.BONGOTIPS.COM LA KUANZIA TSH 5,000/= HADI TSH 40,000/= KILA SIKU PALE UNAPO WEZA BASHIRI GAME ZAKO NA ZIKASHIDA.

MAELEZO ZAIDI PIGA 0673839983 , 0718445962, NA 0625655587
AU TEMBELEA WWW.BONGOTIPS.COM AU PAGE ZETU ZA FACEBOOK ZA BONGOTIPS PREDICTION
 
FB_IMG_1515847320019.jpg

Arsenal's new Greek centre-back Konstantinos Mavropanos.
 
Back
Top Bottom