Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
Is Swahili language difficult,???![]()
Pole mkuu!

naona umekomaa na Bournemouth tu....au walikukalisha last season nn??![]()
naona umekomaa na Bournemouth tu....au walikukalisha last season nn??
Nimeuliza kizushi2..,nafahamu timu zilizokukalisha last season.., mmojawapo akiwa ni asenali hhhhhh![]()
Pole mkuu...
Nimeuliza kizushi2..,nafahamu timu zilizokukalisha last season.., mmojawapo akiwa ni asenali hhhhhh
Utajua mwenyewe.. Sizitaki mbichi hiziHiyo post ya lini??? We vp ww??
Umetumwa ama...
Mkuu nimecheka balaaa!!
Acha kuumwaumwa ww...ongea pointi yako...Pole mkuu...
Kalale...Utajua mwenyewe.. Sizitaki mbichi hizi
Daah!! Hapa inabidi tukaze aiseeh...
Kalale...