everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Pole best yangu...... poleni sana bandugu.![]()
All the best vijana wangu.
Tukishinda game ya leo nitatoa ya moyoni.....![]()
Pole best yangu...... poleni sana bandugu.![]()
All the best vijana wangu.
Tukishinda game ya leo nitatoa ya moyoni.....![]()
Hehehehe mmeangamizwaKikosi kikojeeee naona muda wa maangamizi umekaribiaa
Vipi ya moyoni yanatolewa au hayatolewi??? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeedeee![]()
All the best vijana wangu.
Tukishinda game ya leo nitatoa ya moyoni.....![]()
Na bado na ya 3 inakuja dhidi y citySi mbaya sana ni mechi ya pili kushindwa.
Wapenzi wa Arsenal tunaelewa, ingawa tutakuwa disappointed na safu ya ulinzi imepwaya sana.
Hahaha yamewashinda maini mutauweza mfupa?Uko wrong, mwezi wa matatizo kwa kawaida kwa Arsenal ulikuwa ni mwezi wa November na tulivuka hapo.
Pia kumbuka Arsenal leo imepoteza hii game miezi tisa ikiwa imepita.
Hivyo si jambo la ajabu sana kwa leo kupoteza hii game.
Uje tena jumapili tushangilie Arsenal ikiwafunga Man City nyumbani kwao Etihad.
Hii Habari ya arsenal kufungwa ipuuzieni ni Habari chonganishi na hakuna ushahidi wowote maana wengi wetu hatujashuhudia hivyo basi all gunner's timu yenu iko imara kuchukua kikombe cha kunywea chai lakini
Mkuu, hili ni goli la kwanza Arsenal anafungwa kupitia kona msimu huu.Sisi ni wabovu sana kulinda goli kwenye mipira ya kona, hatujui kabisa kujipanga na hili ni tatizo kwa misimu mingi tu.

ni KULIIBA tu..

View attachment 446300
OG signs new contract .... ... ...
View attachment 446301
Coquelin also signs new deal .... ... . Ding ... Dong