TupoteeLengo gani tena?
Karibuaya arsenal kazi kwenu.
Hapa tutazipiga dakika180, hawa Bavarians ni lazima mwaka huu tuwachape, Carlo pamoja na uzoefu wake safari hii lazima Le Prof amfundishe kazi.Mbona hujiamini shida nini babaaaa!!!! Mpira dakika 90
Mechi ya Kwanzaa itaamuaHapa tutazipiga dakika180, hawa Bavarians ni lazima mwaka huu tuwachape, Carlo pamoja na uzoefu wake safari hii lazima Le Prof amfundishe kazi.
Mkipotea mimi nafaidika nini wakati sichezi UEFATupotee
Barcelona.


anatuumizaga Sana huyu, si ndo aliwapa spurs penalty ya uongo hadi tuka drawMwamuzi ni mtaalam Mark Clattenburg.
COYGs!!
anatuumizaga Sana huyu, si ndo aliwapa spurs penalty ya uongo hadi tuka draw