McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
FT
Everton 2-1 Arsenal
Everton 2-1 Arsenal
Acha mnyooshwe kidogo
2-1
Poleni sana jamani, kufungwa si jambo la kupokea kirahisi.Si mbaya sana ni mechi ya pili kushindwa.
Wapenzi wa Arsenal tunaelewa, ingawa tutakuwa disappointed na safu ya ulinzi imepwaya sana.
pengo LA mustafi limeonekana leo
FT: Eve 2-1 ArsenalMatokeo the bundukis
Everton si timu ndogo mkuuWale jamaa wa ku underestimate baadhi ya timu na kudhani kila mechi ni rahisi nadhani wamejifunza jambo moja hapa.. Tough to take this defeat.
inabidi tumchape city.Hii ni big loss ukizingatia tutakapocheza na Man City jumapili tunaweza kuwa nyuma ya Chelsea kwa 9 points.
Wale jamaa wa ku underestimate baadhi ya timu na kudhani kila mechi ni rahisi nadhani wamejifunza jambo moja hapa.. Tough to take this defeat.
point 3 za muhimu against Everton coyg
inabidi tumchape city.
Kila mechi ina point 3.. Ukiifunga Man city au Hull CityYes ikiwa Chelsea ikishinda kesho itakuwa 6 points ahead na jumapili watakuwa 9 points hivyo mechi ya jumapili ni ya muhimu Zaidi kuliko hii.