kwa timu ipi?inabidi tumchape city.
Kila mechi ina point 3.. Ukiifunga Man city au Hull City
Pengo ndio ni kubwa lakini kama uliusoma mchezo wale jamaa walikua wanajaza mipira ya juu ambayo kwa aseno huwa wanapata wakati mgumu wakikutana na timu inayocheza ivo. Leo everton wangeweka gozi chini wangeliwa mapema tu.pengo LA mustafi limeonekana leo
Sijasema ni timu ndogo. Nilimaanisha kuna watu ukisema kabla ya mechi kuwa itakuwa ngumu na huna matumaini ya ushindi kutokana na muonekano wako utawasikia wanabwata kuwa ushindi utapatikana kiurahisi utadhani wanacheza goroliEverton si timu ndogo mkuu
Kama huamini muulize Gurdiola atakwambia ipi ni timu ndogo pale Uingereza.
Hana hamu
"Mechi ya jumapili ni muhimu Zaidi kuliko hii"Namaanisha Chelsea ikishinda kesho dhidi ya Sunderland na jumamosi dhidi ya Crystal Palace watakuwa mbele kwa 9 points kwa Arsenal by Jumapili ambayo ndiyo Arsenal anacheza Etihad.
"Mechi ya jumapili ni muhimu Zaidi kuliko hii"
Nafasi yenu mnayoipigania inajulikana so hamna tatizo ukiangalia na hii ndiyo December , mambo yenu ni as usualCha msingi Arsenal wapo juu ya Liverpool, Man City,Tottenham na Man Utd.
Pongezi kwa Chelsea kwa kuendelea kushika usukani.
Ila kelele za haters sasa zielekezwe pia kwa Leicester City ambao nao leo wamefungwa tena na Bournemouth.
Kuna watu wa ajabu sana, wamekazania kuizungumzia Arsenal wakati watu kama Mourinho bado wanajivutavuta.
Nafasi yenu mnayoipigania inajulikana so hamna tatizo ukiangalia na hii ndiyo December , mambo yenu ni as usual
Sasa nyie Ar5ena1 mkishaskia tuu jina la Bayern Munich mnatetemeka mpaka mnafungwa.
Halafu Ozil leo sjui alikuwa ana fanya nn pale uwanjani
Mwezi wa matatizo kwa Arsenal ni December-January kama huelewi.Uko wrong, mwezi wa matatizo kwa kawaida kwa Arsenal ulikuwa ni mwezi wa November na tulivuka hapo.
Pia kumbuka Arsenal leo imepoteza hii game miezi tisa ikiwa imepita.
Hivyo si jambo la ajabu sana kwa leo kupoteza hii game.
Uje tena jumapili tushangilie Arsenal ikiwafunga Man City nyumbani kwao Etihad.
Sasa nyie Ar5ena1 mkishaskia tuu jina la Bayern Munich mnatetemeka mpaka mnafungwa.
Halafu Ozil leo sjui alikuwa ana fanya nn pale uwanjani
Mwezi wa matatizo kwa Arsenal ni December-January kama huelewi.
Ngoja tuone
RichardArsenal leo hawakujiandaa na physical game ya Everton na Ozil nafikiri uliona jinsi alivyokuwa akifanyiwa na James McCarthy na hata wakawa "squared up" kabla ya mapumziko.
Pili, Arsenal huwa wanatatizwa sana na long ball tactics za timu kama Everton ambao siwalaumu kwa mbinu hiyo ila ni ya kizamani.
Kama Everton wangetandaza kabumbu kwenye kapeti basi habari ingekuwa ni nyingine.
Tusubiri mpira wa uhakika jumapili na Man City.