Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
YesArsenal leo hawakujiandaa na physical game ya Everton na Ozil nafikiri uliona jinsi alivyokuwa akifanyiwa na James McCarthy na hata wakawa "squared up" kabla ya mapumziko.
Pili, Arsenal huwa wanatatizwa sana na long ball tactics za timu kama Everton ambao siwalaumu kwa mbinu hiyo ila ni ya kizamani.
Kama Everton wangetandaza kabumbu kwenye kapeti basi habari ingekuwa ni nyingine.
Tusubiri mpira wa uhakika jumapili na Man City.
Realy Ozil ndio kinacho mcost mara nyingi asiwe kwenye vikosi vya dunia, he is good lakin when it gets physical ana jificha.
Leo nimegundua Sanchez ni bonge ya soldier anaweza kucheza popote. Imean mechi ya namna yoyte.
Walcott alikuwa ni kama hayupo so Baines akawa ana panda sana juu, Walcott amekuwa mcehzaji hewa leo.
Mnge hold hata droo, lakin kuna shda kwenye timu yenu may be ya kisaikolojia, then hamja fungwa mda mrefu it was okey kupoteza leo.
Mwisho kabisa jumapili na City hamshindi.