Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Next game
Man City Vs Arsenal droo itakuwa matokeo mazuri kwetu
 
Kama ambavyo huwa tunafurahia ushindi kwa pamoja,hata sasa tupo pamoja my fellow Gooners.
Kupoteza ni sehemu ya mchezo,kesho tutashinda...tutafurahia tena.
No matter what,I'll die a Gooner.
COYG
 
Kama ambavyo huwa tunafurahia ushindi kwa pamoja,hata sasa tupo pamoja my fellow Gooners.
Kupoteza ni sehemu ya mchezo,kesho tutashinda...tutafurahia tena.
No matter what,I'll die a Gooner.
COYG
Poleni sana ila umeandika kiuwana michezo kabisa hapa ndivyo mnatakiwa kuliangalia hilo.
 
Sisi ni wabovu sana kulinda goli kwenye mipira ya kona, hatujui kabisa kujipanga na hili ni tatizo kwa misimu mingi tu.

Kweli kabisa Kaka, sijui kwa nini Wenger ameshindwa kulifanyia kazi hilo

Taizo lingine kwamWenger ni kubadirisha aina ya uchezaji, unajua Giroud ni mzuri wa mipira ya vichwa hivyo anahitaji cross, so kitendo cha yeye kuingizwa kilipaswa kwenda sambamba na kubadirisha aina ya uchezaji yaani Arsenal iliwapasa kutumia wing sana ili wawe wanapiga cross kwa Giroud, Wenger alifanya sub bila kuliangalia hilo
 
Uko wrong, mwezi wa matatizo kwa kawaida kwa Arsenal ulikuwa ni mwezi wa November na tulivuka hapo.

Pia kumbuka Arsenal leo imepoteza hii game miezi tisa ikiwa imepita.

Hivyo si jambo la ajabu sana kwa leo kupoteza hii game.

Uje tena jumapili tushangilie Arsenal ikiwafunga Man City nyumbani kwao Etihad.
Full time Eva 2 vs 1 Arsenal
 
Leo sijamwona Wacha 1 akicheka khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee. Wacha 1 mpira wa uingereza hakuna anayejua wala mwenye hati miliki na ushindi. Kuna siku utafungwa, kuna siku utatoa draw na kuna siku utafunga. So hata sis blues kuna siku tutafungwa na kunasiku tutadraw. Viva chelsea leo tukishinda mnakuwa nyuma point 6 amabayo itakuwa ngumu kwenu kufika mwezi huu wa december.
Meanwhile poleni kwa kipigo kitakatifu kutoka kwa Eva.....!!!
 
Wacha1 kumbuka kucheka hata wakati wa majanga ...........leo umepotea embu tuletee kile kicheko chako. kheeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom