Zabibu zenyewe zina chumvi!!! Ndizi zenyewe mbichi!!!Sio big deal
Wenger alifanya dharau, alipanga kikosi butu. Kile ni kikosi cha kucheza na QPR au MK Dons sio Southampton.
Link Milton Keynes Dons 4-0 Manchester United
"Wacha wapingwe tu ,hakuna namna ingine"- Pinda.