sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
hahhaa.....yule leo hautamuona kwenye uchambuzi kabisa..........labda wkend mambo yakienda vizuri........Heeeeeee!!!! Naona mmeamua kuja kushinda kabisa chama chenu kizuri kweli cha kufa na kuzikana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] .........Kuna kale kajamaa kalikovaa suti kanashinda Kwetu umekaona? Mwambie nimemletea zawadi ya ua.. [emoji253]