Shuzi la marehemu hilo, limewaganda![]()
Prof atasaini mkataba wa mwisho wa miaka mitatu July 2017.
Matusi ya nini, ustaarabu ni kitu cha bure. Prof anawanyima raha khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeShuzi la marehemu hilo, limewaganda
[HASHTAG]#justsaying[/HASHTAG]
na wafiwa wenyewe wametususa............ngoja turudi kwetu.
Yah seen that
![]()
Prof ana-develop Granit Xhaka/Elneny axis ... ..... Ding ...Dong
Sio big dealKwa line up ambayo AW ameipanga dhidi ya Timu ambayo kwenye EP Arsenal waliifunga kwa kupewa penalty dakika ya mwisho, kuna mtu alitegemea Arsenal ingaliweza kuifunga Southampton leo ?
AW is not serious, at all! Mou alimtania na kumwambia nini vile? .....failure, something.
Mou atapata at least kikombe cha mbuzi cha kumlindia kibarua OT.
Mou mechi kama hizi hatumi mtoto.
Wenger in or out?
Wewe wakusema haya?usiseme hivyo wewe...hujafundishwa kufariji wafiwa!??
KarmaKama ambavyo mtaoshwa weekend na Everton!
Unanchekesha sana kajamaa ganiHeeeeeee!!!! Naona mmeamua kuja kushinda kabisa chama chenu kizuri kweli cha kufa na kuzikana![]()
![]()
![]()
.........Kuna kale kajamaa kalikovaa suti kanashinda Kwetu umekaona? Mwambie nimemletea zawadi ya ua..
![]()
Hukukoseahahhaa.....yule leo hautamuona kwenye uchambuzi kabisa..........labda wkend mambo yakienda vizuri........
Ntakua nakata keki while naangali mtanange
Mentor unazinguaKhe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kombe lenu ni lipi? #4
Khe khe khe kheWakaanga sumu wamejaa baada ya sisi kutolewa katika kombe la kuku hahahahahaha au khe khe khe khe
Kila mkataba kwake ni wa mwisho![]()
Prof atasaini mkataba wa mwisho wa miaka mitatu July 2017.
Haya bhana naona umegain momentumhahaha....
hahahaa...........aendelee kuniona na aongeze baraka zake kwa timu yangu pendwa Manchester United.Ujue Mungu anakuona, shauri yako. 🙂