verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,283
- 6,568
Arteta amebeti hii gem, huu ujuaji utamcost
Hanaga attacking mind, sasa hii ya mwisho alikua anataka kufanya nini kwenye 18Timber should be subbed immediately
Lini mmekuwa tishio wazee wa one nilArsenal tukiwa na mpira kwejye kushambulia tumekua tishio kuliko city
Kiungo kimekosa utulivu, skelly na bruno inaweza ikawa balance nzuri kuliko merino na bruno
Gyokeres ni muhimu ku-disturb beki za city kuliko hiki anachokifanya kai (mikimbio)
Unalilia apangwe akiingia utumbo mtupu bora Kai.Mliokuwa mnamtaka gyokeres mmeona alivyo mavi?