West Ham wanafanya mabadiliko na Andre Ayew anaingia badala ya Fernandes.
Dakika inakwenda ya 62
Hii game bado ngumu jamaa wanacheza kwa determination, tukizembea wanaweza kusawazisha. Ni bora tufunge lingine ili kuwakata maini 20 minutes to go.


Naona dalili za kua na w'end murua.....COYG..![]()
Sancheeeeeeeez 2 -0 up
Excellent Goal, superb and clinical
Arsenal 2 West Ham United 0
It's a sucker punch!
Sancheeeeeez....DONE