Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sancheeeeeeeez 5 -1 up

Hat- trick kwa Sanchez, eti wanadai ameotea!
 
Hii ni mara ya kwanza baada ya miaka mingi kwa Arsenal kutumia nafasi ya timu zilizo juu ya msimamo wa ligi kujiongezea points.

Leo baada ya Man City kufungwa na Chelsea Arsenal walikuwa nyuma kwa 3 points na baada ya Chelsea kushinda Arsenal walikuwa nyuma kwa 6 points.

Sasa tutashika nafasi ya pili tukiwa na 31 points na mbele ya Tottenham ambao nao wameshinda leo na walikuwa nyuma kwa 1 point, kwa advantage ya 4 points.

Pia Arsenal imejipa advantage ya magoli mengi ya kufunga ikiwa mpaka sasa na magoli 19 mbele ya Liverpool yenye magoli 18.

Hivi ndivyo inavyotakiwa, well done Gunners.
 
upload_2016-12-3_19-26-16.png


1 - 5 final score .... ... ...
 
homgereni leo Rubaman naona mmekandamiza Westham na Nyundo yao wenyewe nyundo 5 hatari Sanchez anaumia lini?
 
31bf953eb09390d7f9d6d31dd3d77404.jpg

Basi mtaa wa 7 watasema ni photo shop kheeeeee kheeeee nimeamini mwezi Nov na Dec ni mbaya sana kwetu guys tukutane j4 kwenye UCL nahitaji glass ya monde kuongeza furaha yangu wale manyang'au leo hawajaibuka ila wakija waambieni nilikuwepo.
 

Arsene Wenger na Arsenal hawajawahi kushinda hicho kikombe na Arsene Wenger huwa hatilii maanani kwa kuwachezesha wachezaji wengi wa kikosi cha pili.

Na hiyo imelipa na leo wachezaji wote wa kikosi cha kwanza wamepumzika wiki nzima na kuja kuwalaza West Ham goli 5- 1.

Southampton walichukulia kikombe hicho kama vile ni ligi kuu na wakacheza kama vile wameahidiwa zawadi kubwa sana na matokeo yake leo wamepoteza mechi muhimu zaidi ya hicho kikombe.

Hivyo utaona tofauti ya jinsi ya kupanga timu na wapi kupewe kipaumbele.

Na Arsenal kipaumbele chao ni kujaribu kutwaa ubingwa wa ligi kuu.
 
Richard acha kupigazana kelele siku kama ya leo unatakiwa utafute zilipo shangwe uikimbize w'end,analeta link zake leo wakati WHU kafundishwa nini maana ya nguzo 5 za uislamu pale gheto kwake.
 
Back
Top Bottom