Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

77241ba231d03b065b26a15aed3c6c3f.jpg

Ivi ndivyo tunavyoenda leo angalau presha sio ya kutisha AW kaona mbali.
 
Ila huyu AW anakuwaga na maamuzi ya ajabu sana,Kwahyo anahisi hapo SUB yake imetimia!!Ngoja tuone mwisho wake labda wasiwasi wangu tu
 
Mpwa hapo mbona mimi naona poa au ulitaka Alexis,Ozil and the like wamjulishwe kwenye kikosi?
 
Kama kawaida EFL Arsenal wanaweka reserves Mtaa wa 7 wanaweka full mkoko.
 
Ngoja nikalale...... Nitafuatilia matokeo kesho manake huyu AW si wa kumuamini kabisa, tushapigwa
 
Kwa line up ambayo AW ameipanga dhidi ya Timu ambayo kwenye EP Arsenal waliifunga kwa kupewa penalty dakika ya mwisho, kuna mtu alitegemea Arsenal ingaliweza kuifunga Southampton leo ?
AW is not serious, at all! Mou alimtania na kumwambia nini vile? .....failure, something.
Mou atapata at least kikombe cha mbuzi cha kumlindia kibarua OT.
Mou mechi kama hizi hatumi mtoto.

Wenger in or out?
 
AW in
 
Mpwa hapo mbona mimi naona poa au ulitaka Alexis,Ozil and the like wamjulishwe kwenye kikosi?
Mkuu umeona nilichokuwa na wasiwasi nacho??Kama tulikuwa tunahitaji ushindi jana ni lazima tungeonesha hilo kuanzia kwenye upanganji wa kikosi chetu.
Perhaps Mzee Wenger ameamua kujikita kwenye mashindano makubwa ya UEFA na EPL,let's wait and see!!!!!!!
 
Back
Top Bottom