Legeza mwendo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 519
- 655
arsen wenger sio mtu wa sport sport bhana, hapendagi vikombe vya mbuzi ye anapenda EPL na UEFA

arsen wenger sio mtu wa sport sport bhana, hapendagi vikombe vya mbuzi ye anapenda EPL na UEFA

Huyo mzee hajawahi kuwa seriousKwa line up ambayo AW ameipanga dhidi ya Timu ambayo kwenye EP Arsenal waliifunga kwa kupewa penalty dakika ya mwisho, kuna mtu alitegemea Arsenal ingaliweza kuifunga Southampton leo ?
AW is not serious, at all! Mou alimtania na kumwambia nini vile? .....failure, something.
Mou atapata at least kikombe cha mbuzi cha kumlindia kibarua OT.
Mou mechi kama hizi hatumi mtoto.
Wenger in or out?
poleni ila ndiyo mpira..............na mbaya zaidi msimu wa xmass umewadia hii hali inaweza kuwa hivi uko mbeleni.
hahaha...........Loh wafiwa hawa walijisahau kuwa kila mwenye mwili ataonja umauti.usiseme hivyo wewe...hujafundishwa kufariji wafiwa!??
Mzee Wenger ni mtu wa ajabu sana!Huyo mzee hajawahi kuwa serious
Kumbe ulijitabiria....!!! PoleeeSina matumaini na ushindi mechi ya leo. Na sitanung'unika tukitolewa, majeuhi yanaongezeka kila mechi, tukiondolewa itasaidia kutupa muda wa kupumzika .
Yeye badala ya kuwapa pole anaendelea na utabiri kabisa kwa kweli inauma sana majirani zetu hawa jamani.usiseme hivyo wewe...hujafundishwa kufariji wafiwa!??
Jamani tuliambiana tuje tuwape pole tu hayo maneno mengine yanawaumiza kweli ila ndio haki hiyo wacha turejee kwetu kuzuri leo huwezi kuwaona kule.hahaha...........Loh wafiwa hawa walijisahau kuwa kila mwenye mwili ataonja umauti.
Kumbe ulijitabiria....!!! Poleee
muosha huoshwa..........ila ngoja niache.Jamani tuliambiana tuje tuwape pole tu hayo maneno mengine yanawaumiza kweli ila ndio haki hiyo wacha turejee kwetu kuzuri leo huwezi kuwaona kule.
muosha huoshwa..........ila ngoja niache.
poleni sana wapendwa.......tuko pamoja.
hahaaa sichezi na wewe.Kama ambavyo mtaoshwa weekend na Everton!
Heeeeeee!!!! Naona mmeamua kuja kushinda kabisa chama chenu kizuri kweli cha kufa na kuzikanamuosha huoshwa..........ila ngoja niache.
poleni sana wapendwa.......tuko pamoja.
.........Kuna kale kajamaa kalikovaa suti kanashinda Kwetu umekaona? Mwambie nimemletea zawadi ya ua..
Jamani tuliambiana tuje tuwape pole tu hayo maneno mengine yanawaumiza kweli ila ndio haki hiyo wacha turejee kwetu kuzuri leo huwezi kuwaona kule.