Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Ngosha ukweli kwamba hamlingani na Barca, na ndio maana wao ni mabingwa watetezi na wametwaa vikombe vyote walivyoshindana mwaka jana wakati nyie ni sufuri.
Hayo maneno ya Messi ni mbinu ya kumsifia mpinzani. Hii hutumika badala ya kumtrash mpinzani wako ili kujidefend mambo yanapoenda kombo. Vilevile hata mambo yakienda sawa unajipa ujiko kuwa mliifunga timu 'nzuri' ..as simple as that.
...aaaaah,
Kimchezo tunalingana bana, sema wao wapo La Liga Spain na 'Washika bunduki' wapo EPL uingereza. 🙂