Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Haha naangalia game pia uwezekano wa Arsenal kuondoka na ushindi ni dhahiri , Arsenal Fans wish u all the best

Tunakukaribisha 1st lady uwe mwanachama na mpenzi wa GUNNERS. Karibu sana 1st lady.
 
jamaa wakituliza akili pale tutaweza kupata goli.lakini mambo yakuendelea na pasi zao za kudonyoa donyoa pale golini badala ya kupiga mashuti ngoma itakuwa nzito.
 
Bora aingize wakabaji Profesa wenu. Si mnajua West Ham wanapumulia mashine EPL?, BTW they are nt such gud, naona wataungana na Hull&Port. kushuka daraja.
Kila la kheri..!
 
West Ham hawana chao...i think Zola mda si mwingi atamfwata Brown (kutimuliwa)
 
safiiiii sana msimu unaendelea kuelekea vizuri.sasa wenger akakae chini kufikiria kumtumia SONG plae kati mpaka beki zetu zirudi manake sidhani kama itakuwa idea nzuri kuwatumia campbell na silvestre at the same time.
 
Huu ushindi mtamu sana,ile kadi Ref was too harsh.Silverster asichezeshwe ataharibu kabisa.Song acheze na Campbell na Diaby acheze nafasi ya Song.kesho Liverpool 2 Manchester1
 
Back
Top Bottom